ahsante kwa offer pal!mie tena mbona utakoma mwenyewe!ahahahahahahhaah nataka niwe ndani ya jeans lakini haya mambo yenu ya massage haya hamkawii kunivalisha kitaulo kiunoni af masikioni mnaning'oneza ''huwa tunatoa na erotic services!''ahahahahhahahhahah