Mass Shooting in San Bernadino, California

Status
Not open for further replies.

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
98,041
Reaction score
142,967
Polisi nchini Marekani imesema takriban watu 14 wameuawa na wengine 14 kujeruhiwa baada ya kupigwa risasi na watu wenye silaha katika mji wa San Bernadino mashariki mwa Los Angeles.

Polisi mjini humo inasema tukio hilo imetokea kwenye kituo cha huduma kwa watu wenye ulemavu na inawezekana lilihusisha watu watatu wenye silaha ambao wametoroka kwa gari.

Watu hao wenye silaha wanasemakana walivyalia kijeshi na walitumia silaha za masafa marefu.

Mkuu wa kituo hicho cha watu wenye ulemavu palipoteka mauaji hayo ya kinyama anasema milio ya silaha ilisikika katika jengo lililokodishwa kwa ajili ya pati iliyoandaliwa na Idara ya Afya.
Rais wa Marekani Barack Obama amelaani shambulizi hilo na kusema Marekani imekumbwa na tukio la mauaji ya watu wengi ambalo halifanani na jingine lolote duniani.

Kwa upande wake Mkurugenzi Msaidizi wa Shirika la kijasusi la FBI David Bowdich anasema sababu kubwa ya mauaji hadi haijafahamika.

"Kwa wakati huu ninaelewa moja ya maswahili yenu ni kuhusu tukio hili la kigaidi. Ninawaeleza sasa kuwa hatujui kama hili ni tukio la kigaidi kwa hiyo tunaanzia mwanzo kufanya kazi na wenzetu waliopo katika eneo hili. Tunadhani inaweza kuwa, pia inaweza isiwe lakini tunafanya kazi bega kwa bega nao kuanzia mwanzo. Kama mambo yatabadilika tupo hapa na hakuna hatua yoyote itakayopotea wakati uchunguzi utakapokuwa unaendelea." Alisema

Attachments

  • S057105088-300_0.jpg
    60 KB · Views: 1,338
Vipi dogo umesalimika na hao shooter shooter!!!
Poleni wanhanga
 
Ngoja tusubiri replay ya jaluo kupigia chepuo gun control na nra & republicans kumshutumu kwa ku'politicise' msiba.
 
Polisi nchini Marekani imesema takriban watu 14 wameuawa na wengine 14 kujeruhiwa baada ya kupigwa risasi na watu wenye silaha katika mji wa San Bernadino mashariki mwa Los Angeles.

Polisi mjini humo inasema tukio hilo imetokea kwenye kituo cha huduma kwa watu wenye ulemavu na inawezekana lilihusisha watu watatu wenye silaha ambao wametoroka kwa gari.

Watu hao wenye silaha wanasemakana walivyalia kijeshi na walitumia silaha za masafa marefu.

Mkuu wa kituo hicho cha watu wenye ulemavu palipoteka mauaji hayo ya kinyama anasema milio ya silaha ilisikika katika jengo lililokodishwa kwa ajili ya pati iliyoandaliwa na Idara ya Afya.

Rais wa Marekani Barack Obama amelaani shambulizi hilo na kusema Marekani imekumbwa na tukio la mauaji ya watu wengi ambalo halifanani na jingine lolote duniani.

Kwa upande wake Mkurugenzi Msaidizi wa Shirika la kijasusi la FBI David Bowdich anasema sababu kubwa ya mauaji hadi haijafahamika.

"Kwa wakati huu ninaelewa moja ya maswahili yenu ni kuhusu tukio hili la kigaidi. Ninawaeleza sasa kuwa hatujui kama hili ni tukio la kigaidi kwa hiyo tunaanzia mwanzo kufanya kazi na wenzetu waliopo katika eneo hili. Tunadhani inaweza kuwa, pia inaweza isiwe lakini tunafanya kazi bega kwa bega nao kuanzia mwanzo. Kama mambo yatabadilika tupo hapa na hakuna hatua yoyote itakayopotea wakati uchunguzi utakapokuwa unaendelea." Alisema
 
Ikipigwa Amerika ni big deal, wakipigwa Nigeria ni kawaida tyuuu
 
America damu mlizomwaga Iraq,Afghanstan, Libya sasa znaanza kuwarudia.
Mnajifanya miungu watu tambuen kuwa Mungu amemuumba mwanadamu kwa maksudi yake lakn nyinyi kwavile mnajifanya sawa na Mungu sasa mnaanza kukiona cha Moto. Mungu kawachanganya akili. Mnawaua waislamu wakat huo mnawakaribisha huko kwenu.

Mnatengeneza siraha nzito utadhan mnaenda kuulia mamba na boko kumbe za kuulia binadamu sasa onen mnaonja utamu wa siraha zenu.

Laana yote iwe juu yenu.
 
Mungu saidia usikute rafiki yangu ni miongoni mwao, japo hakai maeneo hayo yeye anaishi Marryland
 
Magaidi hao! Mungu atusaidie, maana kupigana na MTU ambaye haogopi kufa, na kifo kwake ni tuzo ni ngumu sana!
 
Muuaji mmoja ashajulikana ni Farook......
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…