Masoud ni shida

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji4]
 
Apo umedanganya iyo si katuni ya masud...masudi anachora mwananchi usidanganye watu apa...
 
Apo umedanganya iyo si katuni ya masud...masudi anachora mwananchi usidanganye watu apa...
Yap ni kweli huyo c masoud(kipanya and his family) km ckakosea huyo anaitwa Musa/Said Ngar...? wa nipashe nafikiri.
 
Nunua gazeti la mwananchi la Leo uone sio kuleta porojo
 
Umekosea mkuu..huyo sio masudi..uwe unatafiti kwanza
 
Sio kila Katuni ni ya Masoud!
Ndio Nyie kila dawa ya kusafishia viatu mnaita Kiwi na kila Petrol station mnaita Shelly
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…