TAFSIRI
1. JIWE hashauriki
2. Ana uelewa mdogo sana kuhusu dunia inavyokwenda lakini anajifanya "MUCH KNOW"
3. Ana maamuzi mkurupuko na ya kushangaza, anapenda LIGHTS, NYOMI, ATTENTION hata akiharibu kumshauri ni ngumu
4. Hana dira yeyote, atakachoamka nacho ndo hicho anakuja nacho kutolea maagizo TBC