Masoud Mpenzwa: Nimepotelewa na vyeti

Masoud Mpenzwa: Nimepotelewa na vyeti

masoudmpenzw

Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
7
Reaction score
0
Tafathari kwa yeyote aliyepata taarifa tuwasiliane 0713096229, nimepotelewa na vyeti vyote vya taaruma kuanzia O' level mpaka chuo kikuu (Mzumbe university) bila kusahau leaving Certificates na cheti cha kuzaliwa.
 
Pole sana.

Uwe na subira ili watu wapitie hapa kwa msaada.
 
Tafathari kwa yeyote aliyepata taarifa tuwasiliane 0713096229, nimepotelewa na vyeti vyote vya taaruma kuanzia O' level mpaka chuo kikuu (Mzumbe university) bila kusahau leaving Certificates na cheti cha kuzaliwa.

pole jamaa au ulivisahau Auguster co Ltd!?
 
Back
Top Bottom