Masoud Kipanya katika ubora wake

Masoud Kipanya katika ubora wake

Manosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2012
Posts
4,510
Reaction score
3,594
Wadau,

Mwenye fikra pana ndio atamwele Masoud Kipanya katika katuni yake ya leo tarehe 15/10/2015

Nyumba ya jirani lazima warushe mawe

Kazi kwenu!
 

Attachments

  • 1444893549657.jpg
    1444893549657.jpg
    37.7 KB · Views: 2,920
Wadau,

Mwenye fikra pana ndio atamwele Masoud Kipanya katika katuni yake ya leo tarehe 15/10/2015

Nyumba ya jirani lazima warushe mawe

Kazi kwenu!

Nimemuekewa masudi lowasa hana mpinzani.
 
Hahahahahah Masudi kiboko... wameishiwa pumzi mtaa wa pili..
 
NASIKIA KWENYE MITAA NA KARIBIA NA LANGO LA KUINGIA IKULU PALE DAR, CCM WALIWEKA BENDERA ZAO BAADA YA SIKU CHACHE cdm nao wakaweka zao.
 
Bendera za CDM zipo juu zaidi kuliko CCM, ina maana CDM inakubalika zaidi kuliko CCM.

Losambo kuna kingine zaidi hapo. Tazama jinsi hizo Bendera hapo hatua ya mwanzo(Zimeshikana), kisha tazama hizo bendera hatua ya mwisho kabisa zimeachana halafu Bendera ya MABADILIKO imepaa zaidi na
Zaidi.
 
Last edited by a moderator:
Pia ukiangalia kwa jicho la Tatu utagundua Masoud Kipanya alikuwa anataka kutuonyesha mchuano wa vyama vya CCM na CHADEMA(UKAWA) katika ngazi zote tatu. Udiwani(Kuna mchuano), Ubunge(Kuna mchuano) Urais(Mmoja kamtangulia mbele mwenzako zaidi, mchuano haupo!)
 
Losambo kuna kingine zaidi hapo. Tazama jinsi hizo Bendera hapo hatua ya mwanzo(Zimeshikana), kisha tazama hizo bendera hatua ya mwisho kabisa zimeachana halafu Bendera ya MABADILIKO imepaa zaidi na
Zaidi.

Upo sahihi,hizo bendera ameziweka kulingana na muda,kuanzia kampeni lizivyoanza mpaka sasa!pia theory nyingine ni mchuano wa vyama kwenye udiwani,ubunge na mwisho urais,

h
 
Sio kwamba kamaanisha nchi itapeperushwa na bendera zote mbili ? ( i mean serikali ya mseto).

Mtazamo wangu tu.
 
Serikali ya mseto hiyo maccm hayawezi kuachia nchi kabisa!
 
Huyu jamaa ni genius aisee kwenye hii tasnia ya katuni namtunuku phd sio ile ya mzee wa "bwagaheart" na phd za kichina
 
Back
Top Bottom