we baba huelewi mambo tunasema nchi kama tz hatujafika kuchanganya fani thats why tunafail katika system zetu!! unafanya kazi kwa uzoefu si kwa taaluma,bank zetu zinafanya nini kwa jamii? kutoa madawati mashuleni? ia that economics uliosomea SUA?socialeconomic strategies ktk bank zetu n i zero!! thats why hata THB ikafa, bank ukiajiriwa ni kukata fee na kuhesabu hela za walalahoi tunzopeleka pale na kutoa mikopo kwa kina nanihii wachache kwani uwongo? kama umesomea mimea nenda kawe bwana shamba, km SUA kitengo cha panya nenda vijijini panya wanawasumbua watu sana!! alaah, mnakaa bank huku wachina wanatuletea dawa za kuua panya!! rudini rural! na others pia, sio sua pekee!
1. Sasa kama SUA wanatoa products za kufanya benki..je IFM, TIA, CBE, UD, MU wanaograduate- wafanye kazi wapi?
2. Hivi products za SUA wakifanyia benki ndo Tz tutaona mapinduzi ya kilimo?
Are our national education priorities right?
bwa ha ha ha walahi kazi ipo......na wale wa BBA waliosoma kijisomo kimoja cha LAW nao wanaruhusiwa wawe mawakili etal?
......... hata humu JF wangapi wameajiriwa na wanafanya kazi ambazo hawajazisomea.
wote hapo juu hamukumwelewa masood alimaanisha nini. Mnataka kusema graduate kukaa counter pale ni sawa. kuajiliwa benki haina tatizo, tatizo ni graduate kuwa benk teller, mtoa pesa dirishani, kazi ile ambayo qualification requirement huhitaji form six leaver.hakumaanisha kuwadhalilisha, bali kusema ukweli, kwani nimarafiki kibao ambao wamemaliza sua, lakini kazi wanazofanya zinasikitisha. SO ni ukweli kuwa, ile katuni ilikuwa sahihi, na sio kwamba alikurupuka, naamini ilitokana na mazungumzo au kumfahamu MSUA ambaye ni bank teller, na ndo kazi aliyoajiriwa nayo, labda kwa fikra za bank manager wamtumie vinginevyo.
inawezekana mkuu wa kazi? mbona wapo cashiers kwenye banks ambao ni graduated wa Mzumbe? na nina mfano halisi wa mmoja ana masters degree na yuko azania bancorp? Fanya utafiti. sasa hivi hawaangalii kufanya kazi gani bali unalipwa shs ngapi?
Masoud kipanya, recently posted a cartoon, depicting a SUA graduate working in bank with a line saying "Hii ndio Bongo, nimemaliza chuo kikuu cha kilimo cha sokoine lakini niko kaunta benki", a statement of the sort.