Masoud Kipanya is wrong about SUA

Nitafute nikupe kazi kijana....utashangaa the position am holding tofauti na shule niliyosoma... usitukane usichokijua

Ha ha ha nina yangu nzr tu. Ila comnent yako ndio siyo ya kisomi ndg.
 

Sasa si ungeweka na hiyo katuni hapa ili nasi tuichambue na kuchangia badala ya kuielezea kitu ambacho ni rahisi kuacha some details ambazo zinachangia kwenye ujumbe kamili.
 
Daa,umejieleza kweli,basi we sio mkulima mkuu,yaishe!
 
MASOUD ni msaani na maetumia kazi yake ya sanaa kufikisha ujumbe Ndio Maana Ufanisi kwenye bank ni zero
 
inawezekana amemaanisha kua kazi nyingi hapa bongo zinafanywa na watu ambao sio professional zao. ni kazi ya sanaa tu hiyo kufikisha ujumbe!!!
 

ndugu, mbona nimechungulia kwenye website ya SUA wanatoa degree ya IT, tena nasikia wapo vizuri sana.
 
Ha ha ha nina yangu nzr tu. Ila comnent yako ndio siyo ya kisomi ndg.

Ndio unitafute sasa uamini unachoambiwa humu.....nimeona unabisha kiushabiki

Katavi kuja hapa umsadie huyu ndugu anabisha
 
Last edited by a moderator:
Ndio unitafute sasa uamini unachoambiwa humu.....nimeona unabisha kiushabiki

Katavi kuja hapa umsadie huyu ndugu anabisha

Mkuu una hamu ya mm kukufanyia mchongo wa kazi za mizizi nn? Ha ha ha just joking my frnd.
 
Last edited by a moderator:
Anakuwa amesoma vitu fulan in course ambavyo vinaingiliana na hyo kaz
 
They say if you live in a glasshouse, don't throw stones.

Masoud Kipanya yeye mwenyewe ame graduate university gani?
Kwani kuna siku kipanya kajinasibisha na wasomi?au wasomi lazima mnangwe na wasomi wenzenu?
 
Benk kuna kaz nyingi position ya bank cashier au teller hata form four leaver anafanya tu sio kila idara inahitaji elimu kubwa kaka
 

Unadhani IT SUA haifundishwi??? Mtu aliyesoma Informatics science haezi kufanya kazi za IT??? tuache utani bana SUA namba nyingine mkuu!! We toa povu tu watu wanapiga mapesa!!
 
Kama mtu kasoma Hortculture au General agriculture halafu unamuajiri kama IT expert huo ni ushenz! nafikir masoud maana yake kubwa ilikuwa hapo SUA ameifanya tu km kiwakilishi cha universities
 
Huyo kijana amemaliza futa ujinga au Form Four. Nyuki anajua geomenty na hesabu, Konokono anajua kuchora kuliko yeye ila hajasoma Chuo kikuuAtembelee Wizara na mshirika ya Ushauri Elekezi akutane na Ex SUAs. Hawajui Prof Godwin Kowero wanao heshimika Afrika. Na akina.... wa World Bank Hq Nairobi.
 

Nyie endeleeni na usharobaro..kuvaa vipensi ...kuchat na whatsapp...fb..badoo...sijui nini na nini...kutongozana makazini..kuchepuka and the alike mkizan watu wa SUA watawaachia hizo kazi!! SUA wanafundisha maarifa na kuwajibika kazini na sio porojo!!
 
personaly nawajua jamaa kadhaa wapo standard chatered bank na CRDB ni mma bwana shamba wa SUA...

Hujajiuliza ni kwanini wapo bank...na kuna bankers?? Je mtu aliyesoma uchumi (kama degree program) haez fanya hizo kazi ??
 
University education helps someone to be able to do anything a part from his/her core professional,in banking industry many bankers are not graduates of Banking related degrees such as Bcom Finance,Accounting or Business management.A graduate needs to be flexible to work in any industry after short training pertaining the Job offered.
 
Mi naona aliye andika hiyo post ndio hakumuelewa Masoud Kipanya, halikuwa lengo la Masoud kuonyesha kuwa SUA wanafundisha kilimo tu, lilikuwa lengo la Masoud kuonyesha kwamba mambo sasa yanaenda tu ili mradi yanaenda na ni jinsi gani ajira hazipatikani kwa sasa mpaka mtu wa kilimo anaenda kuwa bank teller.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…