Masoud Kipanya is wrong about SUA


sio kosa lake ni kutojua na hata wengine wanaotetea ni kwasababu ya kutojua nn kinafundishwa SUA.
na wengi ni artist ndo wenye matatizo na SUA.
 
Agribusiness>>» mind you its a compounded word wherein agri stands for agriculture now where does a learned fellow like you gather guts to lie to us that agribusiness ni banking nendeni shambani mkalime muache uvivu nyeeh heweeh!

I hope mawazo mgando hayatakusaidia, dont be confused by name, try to find the contents
 
nikweli wanagraduate kilimo halafu hawataki kwenda shamban eti wanataka wakae ofsin.. Wazunguke kwenye viti huu si ujingaa.. Umesoma kilimo kawe mkulima full stop au mnaogopa kwasababu mmesoma theory
 
hapo sua kuna degree za uchum.bsc agricultural economics and agribusiness.msc. agricultural economics n moja kat ya course bora za uchum hapa tz.nimekutana na hao watu maeneo tofaut wapo vizur sana.
 
Masudi mwenyewe naskia kaishia form 3 kwahiyo vitu complex kama hivi ni vigumu kuvielewa.

Lakini Ana Mafanikio Makubwa Ya Kimaisha Kuliko Pengine Hata Watu Walioenda Shule Na Huwezi Amini Siku Ukibahatika Tu Kukaa Nae Utagundua Kuwa Jamaa Japo Siyo Intellectual Kivile ILA Hana Tofauti Na Mtu Mwenye BA au MA au PhD Kwa Uwezo Wake Mkubwa Sana Wa Kufikiri, Kujenga Hoja Na Kuwa Na Ufahamu Mkubwa Mno Wa Masuala. Mimi Namkubali Kupita Maelezo! ( Mleta Mada Naomba Radhi Nimejibu Kwa Kiswahili...........Si Unajua Tena It Izi Noti Richabo! )
 
They say if you live in a glasshouse, don't throw stones.

Masoud Kipanya yeye mwenyewe ame graduate university gani?

Kwani 90% Ya Watu Matajiri Duniani Na Waliofanikiwa Kimaisha Wameenda Kidato? Kutokusoma Kwa Mtu Haku Justify Kushindwa Maisha!
 
Kwani 90% Ya Watu Matajiri Duniani Na Waliofanikiwa Kimaisha Wameenda Kidato? Kutokusoma Kwa Mtu Haku Justify Kushindwa Maisha!

Mafanikio gani unamaanisha GENTAMYCINE?Kuna tofauti kati ya mafanikio ya mtu binafsi na mafanikio kwa faida ya jamii. Kwa hili kipanya kaonesha umbilikimo wa kitaaluma.
 
Mafanikio gani unamaanisha GENTAMYCINE?Kuna tofauti kati ya mafanikio ya mtu binafsi na mafanikio kwa faida ya jamii. Kwa hili kipanya kaonesha umbilikimo wa kitaaluma.

Binafsi Kipanya Namfananisha Na Wale Maprofesa Nguli Wa Ulaya Kwa Uwezo Wake Mkubwa Wa AKILI Na UPEO Na Sishangai TUNASHIBANA Sana.
 
Ndugu upo vizuri...mm sio graduate wa SUA but nimeshafanya kazi na bank mbili tofauti hapa Tanzania na Pride tanzania pia. Kiukwel huko kote nilikutana na jamaa wa SUA wengi na walikuwa vizuri sana...km Pride Tanzania ndio usiseme...ma branch manager wengi ni zao la SUA na wanafanya vizuri sana.
 
Kazi ya benki haihitaji hata mtu kuwa na degree,hata dogo wa form 4 ukimtrain ndani ya mwezi mmoja anaelewa.nashangaa nyie mnaowakomalia hao wakulima wa sua.
 
Wabongo tunapenda sana kutetea mapungufu yetu ndoo maana hatuyashughulikii. Masoud yupo sahihi na ujumbe wake ni tatizo la ajira na misplacement of intellectuals. Huwezi mtu ukawa na degree halafu kazi yako unakuwa bank teller. Shit. Anybody who complete form six with short course in computer can make a good bank teller. Watu wakimaliza SUA tunatarajia wawe wameajiliwa kazi za utaalam waliosomea au wamejiajiri. Na sio kuwa simple bank tellers. MASOUD ENDELEA KULUSHA MAWE YAKO ANGANI. UKISIKIA MWAA UJUE MMOJA LIMEMPATA.
 
Kwani we uliye soma biashara si ukafanye biashara au kuhesabu fedha bank ndo kufanya biashara?na kama tunafanya tulichosoma nipeni kazi ya log bank
 

Hii nzuri na ina ukweli kabisa
 
Ukweli unabaki pale pale. SUA wanafaa benki ya WAKULIMA si CRDB wala KCB!!

Wamesababisha hadi mabwana Shamba/Bibishamba hawapo Vijijini siku hizi!
 


Hapo kwenye rangi ni uongo ulio kubuhu!!

Nani ka kwambia ugumu wa shule ndio ubora wa marifa?
Watu wengine sijui huwa mnaenda shule kusindikiza wenzenu au vp?

Au ndio kizazi cha daftari 7 darasa la kwanza?
 
sio kosa lake ni kutojua na hata wengine wanaotetea ni kwasababu ya kutojua nn kinafundishwa SUA.
na wengi ni artist ndo wenye matatizo na SUA.

Mkuu kuna SUA ngapi hapa Tanzania? Mimi natetea muda huu nipo hostel hapahapa SUA nimekuja kwa issue zangu na VC. Hivi wewe unajua gharama za kusomesha mtu hapa mpaka anapata degree? Je, kwa pata lake kama bank teller inajua itachukua miaka mingapi mpaka amalize kulipa deni? Na katika soma soma yako umewahi kutana na neno opportunity cost? Kama ndiyo how do you calculate it? Tunakomaa mabank teller watokee DSA ambayo inamatawi nchi nzima sasa, CBE na sio hapa SUA.
 
[/color]

Hapo kwenye rangi ni uongo ulio kubuhu!!

Nani ka kwambia ugumu wa shule ndio ubora wa marifa?
Watu wengine sijui huwa mnaenda shule kusindikiza wenzenu au vp?

Au ndio kizazi cha daftari 7 darasa la kwanza?
Nitafute nikupe kazi kijana....utashangaa the position am holding tofauti na shule niliyosoma... usitukane usichokijua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…