Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
Binafsi nimpongeze Masoud Kipanya kwa hii katuni yake hii.
Tafsiri ya hii katuni ni kwamba wanasiasa wanachafua uchafu halafu waandishi wa habari wanageuka toilet paper kuwasafisha wanasiasa.
Kwa mujibu wa moja ya wafanyakazi wa tume ya uchaguzi zanzibar ZEC jina tunalihifadhi kwa usalama wake anasema kuwa idadi ya watu waliojitokeza kupiga kura kwenye uchaguzi wa marudio visiwani humo ni 58,732 hii ni sawa na asilimia 10% tu ya wapiga kura wote waliojiandikisha 2015..Na katika kura hizo Dr shein alipata kura 48,175. (Hii ni aibu kwa Dr. Shein)
Ishu ikawa je tutamtangazaje shein kuwa mshindi kwa kura elfu 48?.. Katika mjadala huo na ndipo mwenyekiti wa ZEC jecha akataka kupewa muda awasiliane na Dr shein baada ya dakika 18 alirejea na kusema kuwa ameshauliana na dr.shein kuwa ZEC wafanye liwezekanalo lakini Shein asipate kura chini ya laki 2 (hii inaitwa kupanga matokeo ya mechi).
Baada ya hapo mwenyekiti wa tume jecha akawaita maafisa watatu wa tume na kwenda nao chemba na kukaa huko kwa takribani saa 1 na walivyorudi kwenye kikao walirudi na kura za shein 299,982 ambazo hazikujulikana zilitoka wapi.. Na jecha akasisitiza kuwa kwa kilichofanyika pale kiwe siri sana.
Lakini cha ajabu ni kwamba baada ya uchaguzi huo ambao mimi nauita uteuzi asilimia 90% ya vyombo vya habari ikiwamo TBC,STAR TV,magazeti na radio zilitoa taarifa za upotoshaji wa uchaguzi huo kwa lengo la kuwasafisha wanasiasa waliochafuka..
Pamoja na kwamba Africa tuna utajiri asilia kuliko mabara yote lakini tumekuwa maskini na nchi zetu haziendelei kwa sababu ya hawa toilet paper wa wanasiasa mnaowaita waandishi wa habari..
Ukiangalia machafuko ya Burundi na umwagaji damu unaoendelea ni tofauti na vyombo vya habari vya nchi hiyo vinavyoripoti maana vinalipoti kuwa hali ni shwari hivyo hivyo na Congo na hapa Tanzania pia.. Hali hii imefanya bara ya Africa kutokusonga mbele.
Waandishi wa habari acheni unafiki, fanyeni kazi kwa maslahi ya taifa lenu, acheni kuwa toilet paper za kuwasafisha wanasiasa uchafu wao.
Imeandikwa na; Mdude Nyagali