Masoud afanya mabadiliko

Komwe limeondoka na ubongo au hakukuwa na jinsi ya kuuzuia usitoke!!!!
Hizi operation zingine za kujitakia hizi!!!

Pascal mayara oyeeee.
 
yaani ana maanisha huko kumkichwa ni hewa tupu au
 
Hahahahaaa namkumbuka kipanya hakua na cha kuongeza kwa kikwete labda miwani
 
Masoud ana kipaji cha hali ya juu kwenye hii kazi yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…