hakuna haja ya kutafuta tempo, tafuta darasa fundisha tuishen za jioni, utapata vichwa tuu, au anzisha program tembelea shule za bording ulizokaribu nazo andaa mapindi ya kuwasaidia jioni, mfano unaanza kwa kwenda kama msaada wanapokuwa wanaenda prep wewe unatafuta class moja unawajaza unawapiga topic kazaa, wakiwa wengi baada ya wiki unaanza kuwacharge kila mtu anachangia 200 au 300 utajikuta unajaza darasa la watu 50 so hutokosa 10000 per day, kumbuka shule nyingi za serikali hawako taiti sana prepo za jioni wanawaacha wanafunzi wanajisomea mpaka wanakesha class. Wenzio tumepiga maprogram kama hayo yalipochanganya tukaanza kutembea mikoani shule kama Iyunga, Ifunda, tabora, mazengo, tosamaganga, mkwawa zote nimekanyaga huko kijana.
pia ilifika kipindi watoto wa seminali ya mbalizi wakawa wote wakifunga shule wananitafuta nawafungulia darasa, changamka kijana