Paragons
Member
- May 3, 2016
- 60
- 47
Hii ni zawadi ya pekee kwa mwanao ; mtaalam wetu wa lugha ya Kifaransa kwa watoto ameanzisha « special children’s workshops” anafundisha watoto KIFARANSA kwa kutumia michezo mbalimbali siku ya jumamosi sa tatu asubuhi hadi sa saba. Tafadhali mlete mwanao nakuhakikishia baada ya muda mfupi, utafurahia matunda ya zawadi hii.
Tunapatikana Mwenge I.T.V – Nakiete House, au tupigie 0673225148 au 0753225148
Ushauri wenu wa kuweka masomo ya wakubwa Youtube, tuliupokea kwa mikono miwili. Tumeanza kuyaandaa, Nitawajulisha kwa kutumia njia hii muda si mrefu.
Merci !