Chief Masta
Member
- Feb 5, 2022
- 11
- 23
Wadau, mimi ni mjasiriamali mdogo, nipo Bukoba, najihusisha na uuzaji wa dagaa wa Bukoba
Kama mkoa uliopo kuna masoko au unafanya biashara hiyo nijuze au kama unajua mdau anayenunua dagaa vyema kukonekti
Uhakika wa mzigo upo mpaka gunia thelathini
DM tuyajenge