Katafute financial statements zao kama wanafuata taratibu za kuandaa soma kipengele cha ‘remuneration’ it’s requirement kuweka wazi wanavyojilipa vigogo.
Moreover Magufuli aliweka ceiling ya tsh 20 kwa mwezi or less kwa vigogo wote wa mashirika ya umma, Baada ya Nehemia kujilipa tsh 40 million, huku shirika halina uwezo hata wa kupata mkopo bila ya government guarantee (jamaa is just a bad financier only lucky) sasa hivi labda wawe wamefuta utaratibu wa ‘Magufuli’.