MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,244
- 7,970
Tusiwe vipofu wa baadhi ya mambo,kuna watu wanalishupalia sana hili jambo bila hata kufikiria! hivi hata kama una cheo kwenye ofisi flani ya umma na una nafasi ya kazi ofisini kwako ni sahihi kumpatia nafasi mtoto au ndugu yako kwakua ana sifa? Sheria ya maadili ya utumishi wa umma inasemaje kuhusu maslahi binafsi?
Hata kama ni usaili utafanyika ofisini kwako na pia hata kama wewe sio miongoni mwa wasaili lakini huyo ndugu yako atachukuliwaje na wasaili hao miongoni mwa wasailiwa? Mnafanyia usaili miongoni mwa waombaji wa zabuni ofisini kwako, Mdogo wako ni mkandarasi au mwombaji miongoni mwa wazabini unaweza kumwacha?
Hata kama nduguyo anakidhi vigezo lakini ili kuondoa minong'ono na biases kutoka kwenye jamii na pia itasaidia kumwajibisha anapotenda kinyume na utaratibu kuliko huyo nduguyo, na hivyo ndivyo walivyolenga time ya maadili ya utumishi wa umma.