vevenononombo
JF-Expert Member
- Jun 19, 2015
- 1,289
- 421
Nimekuwa mfuatiliaji wa siasa za Tanzania zaidi ya miaka 30 iliyopita,kiukweli hakuna wakati ambapo kama Taifa tumekutana na changamoto za kiutawala na hamasa za kisiasa kama wakati huu wa kuelekea uchaguzi mkuu,na nitofautiane kabisa na wale wanaolinganisha wakati wa mrema (1995) na wakati huu wa lowasa(2015) tofauti kubwa ni kuwa mwaka 1995 mrema aliibuka lkn hakuwa na nguzo na mtandao wa kiitikadi kwa watu,tofauti na wakati huu ambapo kuna watu wanaishi ktk imani za vyama vyao,lkn pia 1995 ulikuwa ni muda mchache tu taifa lilikuwa limeingia ktk mfumo wa vyama vingi takribani miaka 3 lkn upinzani wa sasa una umri wa zaid ya miaka 23,lkn pia sasa wapinzani wakubwa wa serikali.iliyoko madarakani wameungana(ukawa) hii ni turufu kubwa sana ktk mabadiliko ya siasa za Tanzania.Pamoja na yote hayo "NAISIKITIKIA UKAWA"Maskini Ukawa ni mungu tu atakaewaokoa!" Kwa nini nasikitikia ukawa
1,Mgombea wa Ccm anapata nafasi yakuitumia serikali na idara zake kupanga mipango mbali mbali yakufanikisha uchaguzi mkuu hii ni faida kubwa sana kwa ccm ktk kufanya lolote hata kama watu watapiga kura kwa upinzani
2,Viongozi wa kiserikali kama wakuu wa mkoa na wilaya kama viongozi wa ulinzi na usalama wanakaa vikao na timu za ushindi za ccm na kujadili amri gani itolewe kwa wananchi lkn isiyokuwa na athari kwa chama tawala hivyo chochote anachokuja nacho mkuu wa wilaya au mkuu wa mkoa kimepata baraka za ccm hii ni bao lingine la mkono kwa Ukawa
3,Vyombo vya ulinzi na usalama hasa viongozi wakuu wamepata kukutana mara kadhaa na chama tawala na kuamua chakufanya hivyo nao chochote wanachosema ktk jamii mrengwa mkubwa ni upinzani
4,Mgombea wa urais kupitia ccm kwa sasa anafulsa ya kuwapigia simu za moja kwa moja watu wote muhim ktk uchaguzi huu na wakatii
NB.ukawa isipojizatiti ktk eneo la ujasusi ktk kila hatua wanatofanya na namna nambo yanavyokwenda Hakina Lowassa ataisikilizia ikulu redion na Ccm itashinda Saa 5 asubuhi ndio maana Naonyesha masikitiko yangu "Maskini ukawa ni mungu tu atakaewaokoa"