Maskini timu ya Simba

Maskini timu ya Simba

mansoorsaid

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2014
Posts
1,498
Reaction score
286
Jana watangazaji walisema Yanga mpinzani wake ni timu ya Azam sio Simba tena sasa hivi Simba ni kama Ndanda fc.

Naombeni Yanga mkubwa mwenzako anashushwa thamani Azam atampotezea Simba katika ramani ya mpira taratibu.
 
Unoma gani huo mlio nao yanga acheni vituko ni lini nyie yanga mkatufunga mpaka mjidai hivyo, yaaani mwaka jana tu pamoja na kuwa na timu nzuri na simba kuwa vimeo bado mlishindwa kuifunga leo hii mnapiga kelele
 
mmepoteza dira na ndio mmegawanyika mashabiki
 
Hivi kwenye mechi zote zilizopigwa msimu uliopita (pamoja na mtani jembe) Yanga alishinda game gani kweli? Goli ngapi?
 
Basi mi nasema Simba Sc ni klabu bora kabisa Tanzania, kama huamini subiri league ianze.
 
Nyie yanga ni kma kandambili tu. Pote mnavaliwa iwe chooni,bafuni,jikon,n.k. Mnyama simba ssa kakacrika,anakula mpk majani. Okwi,Kiongera,Messi,Chanongo#Hapana chezea Simba#
 
Jana watangazaji walisema Yanga mpinzani wake ni timu ya Azam sio Simba tena sasa hivi Simba ni kama Ndanda fc.
Mkuu, watangazaji wakisema basi kwako wewe ndio kila kitu? Hukumbuki siku ile ya sare ya 3-3, hao hao watangazaji walisema yale mabao 5-0 yanarudi, lakini baada ya dakika 90 ubao ukasomeka 3-3 huku yanga wakipoteza muda mechi iishe? Pole sana kama kwako wewe reference ya hali halisi ni watangazaji wa Bongo!
 
:A S-eek::A S-eek::A S-eek::A S-eek::A S-eek::hail::hail::hail:
 
Back
Top Bottom