Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,810 Reaction score 831,010 Nov 15, 2014 Thread starter #21 naiman64 said: Tembo wetu watakapokwisha Click to expand... Naumia sana....!!!!
ZIRO JF-Expert Member Joined Nov 10, 2014 Posts 896 Reaction score 659 Nov 15, 2014 #22 mshana jr said: View attachment 202426 Click to expand... Embu vijana sasa tuchukue hatua tumezidisha maneno mengine,tutajikuta tunaishia kupost tu huku na kulalamika
mshana jr said: View attachment 202426 Click to expand... Embu vijana sasa tuchukue hatua tumezidisha maneno mengine,tutajikuta tunaishia kupost tu huku na kulalamika
Black Sniper JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 34,434 Reaction score 59,293 Nov 15, 2014 #23 naiman64 said: Tembo wetu watakapokwisha Click to expand... Imeniuma sana, huruma kwa kiumbe huyo alivyoteswa
naiman64 said: Tembo wetu watakapokwisha Click to expand... Imeniuma sana, huruma kwa kiumbe huyo alivyoteswa
naiman64 JF-Expert Member Joined Nov 22, 2013 Posts 6,988 Reaction score 5,503 Nov 15, 2014 #24 picchu said: Imeniuma sana, huruma kwa kiumbe huyo alivyoteswa Click to expand... Sisi wenye tembo zetu roho zinatuuma wote, ila wenye meno yao wanafurahi na roho zao mbaya kama wakaanga sumu laana ya muumba iwe juu yao na vizazi vyao
picchu said: Imeniuma sana, huruma kwa kiumbe huyo alivyoteswa Click to expand... Sisi wenye tembo zetu roho zinatuuma wote, ila wenye meno yao wanafurahi na roho zao mbaya kama wakaanga sumu laana ya muumba iwe juu yao na vizazi vyao
Black Sniper JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 34,434 Reaction score 59,293 Nov 15, 2014 #25 Picha kama hizi wangekuwa wanaweka kwenye TV kila wakati naona kilio cha wengi kingesikika, Nalia kwa sautiii
Picha kama hizi wangekuwa wanaweka kwenye TV kila wakati naona kilio cha wengi kingesikika, Nalia kwa sautiii
K kinde boy Senior Member Joined Aug 6, 2014 Posts 183 Reaction score 38 Nov 15, 2014 #26 hii inafanywa na hawa wachina ,ndo the source of all evils wakishirikiana na maccm