Hayo magazeti, ata siku ya iddi kwao hawakuona ni muhimu, kisa Magufuli alikuwa mgeni rasmi, sasa hayo mengine si muendelezo uleule, kwanza bunge mmelikimbia wenyewe, na nina mashaka lingekuwa live bengine mngebaki,maana sababu za kumkataa naibu spika ni za kijinga, Spika mstaafu aliwakatalia kujadili mambo mangapi na bado mlibaki bungeni?, sasa kwavile mmekosa sababu za maana na mnachofanya sasa ni kutaka tu kuiyumbisha nchi kwa maksudi ndio maana maamuzi hayo yamefikiwa, especially kwa watu ambao they can't manage themselves