Mkuu, nakupa pole sana jamani, yaani kama ni kisa cha ukweli kinagusa sana.
Kweli jamani haya mambo ya kusikiliza ukoo unasemaje wakati mtakaoishi ni ninyi wawili yanaboa sana, ukizingatia wakati wa matatizo woooooooote wanasepa!!!!!!!!!! yaani hawana msaada sana sana wanakurushia lawama tuu, na miaka hiyo ya 70's mhhh!!!