damtanzania
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 752
- 1,465
saida karoli alishtuka kama anadhulumiwa akajaribu kukimbia ikashindikana. Hamkumbuki alivyo kimbilia Uganda kumbe aliyemchukua naye tapeli akampigisha show, ela hakumlipa na kumtelekeza akamtelekeza.
Tatizo Saida hana elimu kabisa kwa hiyo kwake lazima ingekuwa ngumu kuji manage.
Muta ana roho ngumu nilisikia siku ile zamarad anaongea naye Muta akiwa USA anamuuliza kuwa kuna movie ya marekani wametumia wimbo wa chambua kama karanga kwenye movie yao, vipi saida kalipwa kwa wimbo wake kutumika. Muta akamjibu hapana naye kasikia ameanza fuatilia malipo ila zile nyimbo sio za saida ni za kwake ndivyo mkataba baina yake na saida unavyosema hivyo akipewa chochote anaweza mpa au asimpe ni uamuzi wake tu.
Na akatia msisitizo kwamba walikuwa wanakula bata baada ya ndugu yake kushinda bahati nasibu flani.
Asiyefunzwa na mamaye anafunzwa na ruge mutahaba.
Jamani jamani !Maskini Saida Karoli. .
Huyu naye ana umaskini wa hatari nasikia
Hata voucher ya simu hana...Sasa kuna msanii aliyeuza wa kike kama huyu?huyu sasa ndo walimdhurumu kila kitu..jamaa yule muhaya wa silent in club..alikuwa anampa
show elfu hamsini wakati yeye katengeneza
Milioni mia tano. ..show za said mpaka uganda zilikuwaa zinajaza ma milioni...
Tatizo huyu dada yetu alikuwa hata kuandika jina lake hajui so huyu baba akatumia hiy kama silaha ya kumuibia
Inategemea ni wa kutoka wapi, hata wenyewe kwa wenyewe wanabaguana hawaMie nilidhani wahaya Kwa wahaya hawatendani!
Nashahadia usemi owongo, nakumbuka hili tukio, nilikua na mie naangalia kwenye tv, na nikashangazwa sana. Jamani, acheni tusomesome tu, tuondoe ujinga!
Anguko la Saida wala sio Ruge bali ni Felician Mutta. Kwa hivi sasa kitambo anaishi New York USA na familia yake.
Nafikiri waliompoteza Saida ni wapambe na wanafiki wa pembeni kwani ndo waliomshawishi aachane na mzee Muta pasipo kumuonyesha njia mpya ya kupita.
Kumbuka Saida hakuwa na elimu yoyote Mzee Muta kamuokota bukoba kwenye mkesha wa Nanenane mwaka 2000 pale uwanjani Kaitaba. Kumbuka wakati huo Saida alikua akiimba kwenye vilabu vya pombe na maharusi ya watu.Kamleta mjini kwa mara ya kwanza akiwa hajui hili wala lile... pale suala la kudhulumiwa lilikua haliepukiki, muhimu angetulia kuangalia wapi kuna makosa na kurekebisha na bos wake kwa njia za kidipromasia mwishowe wakachapa mzigo.
Lakini kama mjuavyo kawaida ya wapambe. Wanakuchochea ili ukisanue, kikishanuka nao wanaingia mitini. Kama ilivyo ada, masiki hutakiwi kununa au tuseme tajiri hanuniwi. Muta kabwaga na ndo ukawa mwisho wa saida.
Sasa kipi kilikua bora kati ya kupata kidogo na kukosa kabisa???? Je wangekaa kifamilia unafikiri zile kasoro zisingerekebishika? Lakini mkaona mchochee moto ili ukuni uzidi kuteketea...
Aina hizo za wapambe nuksi ndo zimejaa hata humu jf... kutwa kulalamika na kutukana pasipo kutoa mwongozo kana kwamba wao ndo wakamilifu na hawakosea(gi).
saida karoli alishtuka kama anadhulumiwa akajaribu kukimbia ikashindikana. Hamkumbuki alivyo kimbilia Uganda kumbe aliyemchukua naye tapeli akampigisha show, ela hakumlipa na kumtelekeza akamtelekeza.
Tatizo Saida hana elimu kabisa kwa hiyo kwake lazima ingekuwa ngumu kuji manage.
Muta ana roho ngumu nilisikia siku ile zamarad anaongea naye Muta akiwa USA anamuuliza kuwa kuna movie ya marekani wametumia wimbo wa chambua kama karanga kwenye movie yao, vipi saida kalipwa kwa wimbo wake kutumika. Muta akamjibu hapana naye kasikia ameanza fuatilia malipo ila zile nyimbo sio za saida ni za kwake ndivyo mkataba baina yake na saida unavyosema hivyo akipewa chochote anaweza mpa au asimpe ni uamuzi wake tu.
Na akatia msisitizo kwamba walikuwa wanakula bata baada ya ndugu yake kushinda bahati nasibu flani.
Mutta yupo,nasikia hata studio yake ya FM alishindwa kuiendesha hivyo akatimua wafanyakazi na kuihamishia nyumbani kwake ambapo sasa hivi anafanya na mwanaye pamoja na jamaa kutoka marekani.
Tena mbaba wa watu aliwahi kumpeleka mpaka kozi ya kiswahili, alipoerevuka akadanganywa kuvunja mkataba wakati huo mpaka gari kale ka toyota mark ii kapewa na Mutta huyohuyo.
saida karoli alishtuka kama anadhulumiwa akajaribu kukimbia ikashindikana. Hamkumbuki alivyo kimbilia Uganda kumbe aliyemchukua naye tapeli akampigisha show, ela hakumlipa na kumtelekeza akamtelekeza.
Tatizo Saida hana elimu kabisa kwa hiyo kwake lazima ingekuwa ngumu kuji manage.
Muta ana roho ngumu nilisikia siku ile zamarad anaongea naye Muta akiwa USA anamuuliza kuwa kuna movie ya marekani wametumia wimbo wa chambua kama karanga kwenye movie yao, vipi saida kalipwa kwa wimbo wake kutumika. Muta akamjibu hapana naye kasikia ameanza fuatilia malipo ila zile nyimbo sio za saida ni za kwake ndivyo mkataba baina yake na saida unavyosema hivyo akipewa chochote anaweza mpa au asimpe ni uamuzi wake tu.
Na akatia msisitizo kwamba walikuwa wanakula bata baada ya ndugu yake kushinda bahati nasibu flani.
Hyo aliyemdhulumu
Mwisho wake atashangaa, dhuluma mbaya
Lakini kamtumia kama daraja. very bad!
Nasikia ameokoka Huyo MTU. Kama sijakosea ni Felician Muta.
So sad kwa kweli... babu noma sana yule... halafu sijamsikia siku hizi... unajua dhuluma zingine hata Mungu unamfanya awe anamwaga machozi... dhuluma ni dhuluma, lakini ukimdhulumu mtu kama Chibu, si ajabu hata Sir God akapotezea na kuishia kusema "nyoko zake, na yeye kazidi... utadhani totoz za ukweli zote nimempelekea yeye aaaaaargh... lidhulumuni tu..!" Lakini Sauda Carol... ah, wallah Mungu hawezi kukusamehe!