Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,277
- 5,838
Jumatatu njema!
Nimetafakari sana nikaliona hili likanisikitisha sana nakutamani pengine ningemsaidia rais wetu,
Naomba kuuangazia sana haya mapumziko yake ya ghafla hasa kipindi hiki cha MCC na Makusanyo ya kodi mwezi march kuwa pengine chini ya lengo.
Namuona akitazama ahadi zake lukuki alizotuahidi anaishiwa nguvu kwani anaamini sisi ni nchi changa si waghafla kujitegemea, na hivo wafadhili wakubwa wa Tanzania yaani wamarekani ndo washazira, sasa wakiendelea kubana na kwengine sijui ataonekana vip?
Akiangalia ndani ya chama hawaamini watu aliokua nao maana hata utumbuaji wa majipu lazima awe makini maana mengine yapo moja kwa moja na mishipa ya kichwa sasa anaogopa kumuua kabisa mgonjwa.
Rais wangu safi anania ya dhati aliposimama sijui kama atafurahia urais wake kama wenzake waliopita ukitoa baba wa taifa, kama anavosema tumuombee hakika tusiache maana anaonesha nikiasi gani anauchungu hata kutamani kutumbua pale watu wanaposema hapatumbuliki.
Viva our president ila usisahau demokrasia huru nchini.
From
shabiki wa ukawa na chadema damu, na mwombezi wa Rais JPM.