Kubebwa raha!!!!!!!!!!!!
hii ndiyo picha baada ya harusi? umependezaKazi ipo
Alitaka kuingia uwanjani kufanya ninh, je ni ruhusa kuingia uwanjani?
Watu8,wewe "MBWIGA" kweli yani kumbe ulikuwa ndani ya uwan ja wa Taifa halafu sisi tunahangaika humu ndani kutafuta mtu wa kutupa LIVE matokeo?!hufai kamanda wangu,au kwa sababu wewe ni 'SIMBA' HALAFU LEO NDIO UNAKUJA NA MIPICHA YAKO HUMU,Hujambo lakini?!
Kwa hiyo Polisi wa Tanzania hawana haki za kibinadamu?Mkuu watu8Mkuu huitaji kupigwa bakora kumaanisha kunyanyaswa...kama huniamini basi uliza raia yoyote ambaye ashawahi kuwekwa mikononi mwa polisi...
Tena angepoteza muda hata hayo 3 yasingefika!
Hujaelewa ujumbe, umebugi meeen!!
Kazi ipo