Kwa wanawake haipendezi hata kidogo
Jambo moja kubwa ambalo ni la ukweli na huwa halisemwi ni kwamba katika vitu vyenye raha duniani hakuna kama madawa ya kulevya. Raha yake inazid raha zote ambazo mtu anaweza kuzipata kwa kufanya kitu chochote.
Mfano love making inakadiriwa kuwa inaraha sana kwa watu walio wengi, na ukweli ndivyo ilivyo, lakin raha ya unga imezidi hapo na ukimkuta teja mwenyewe anakuambia kabisa raha yake hakuna kitu duniani kinachoifikia hata kidogo.
sasa kwakua wengi hawatumii hawawez kulijua hili. Na mwanamke anayevuta bangi anapata raha zaid anapokuwa kwenye game na wengi wa hawa ukiwauliza wanakwambia yeye asipopata stimu game kwake hainogi manake kwanza inampa ku squirt mapema zaid afu hachoki kirahisi.
Swala amablo ni baya zaid kwenye haya madawa ni kwamba yanaleta neurological damage kubwa sana ivyo huweza kabisa kumfanya mtu awe chizi na pia husababisha magonjwa ya kuambukiza kama hepatits na AIDS
mie mzima kbs mwanakwetuWakwetu, habar. Vipi hapo kwetu. You are absolutely right! Ila madawa yanaleta somewhat permanent damage if some strict measures are not taken at the begining. Jana nilikuwa na mke wangu, tukakutana na mateja ambao wanamsaidia mizigo stand, wanamjua kuwa anafanya kazi hospitali, mmoja akasema Mama nimechoka na madawa nisaidie niweze kuacha, inatosha. Nikamwambia unaiacha starehe, akasema hapana unapoanza ni starehe, lakini vinapozidi ni mateso.
Wakwetu, habar. Vipi hapo kwetu. You are absolutely right! Ila madawa yanaleta somewhat permanent damage if some strict measures are not taken at the begining. Jana nilikuwa na mke wangu, tukakutana na mateja ambao wanamsaidia mizigo stand, wanamjua kuwa anafanya kazi hospitali, mmoja akasema Mama nimechoka na madawa nisaidie niweze kuacha, inatosha. Nikamwambia unaiacha starehe, akasema hapana unapoanza ni starehe, lakini vinapozidi ni mateso.
Daaaa kiuno bila mfupa hajawaona hao...
Nakataa, wengi wanajiingiza kwenye utumiaji wa madawa kutokana na kuiga na kama ukichunguza kwa undani wengi wao walikuwa wana maisha yenye unafuu kisha wanakuja kupoteza mwelekeo kwenye madawa ya kulevyaUkosefu wa ajira unachangia sana vijana kujiingiza kwenye majanga kama hayo kutokana na msongo wa mawazo
Amavubi, be serious, yule mtu tena tumemkuta stand na mke wangu akatoa kilio chake tena. Amelewa chakari na madawa. Akadiriki kunipa alichokuwa amebaki nacho nikiteketeze ili nimpeleke anakoweza kusaidiwa! Give me the direction!mwambie aje mwananyamala
mie mzima kbs mwanakwetu
Hajambo Martha?
Ukweli ni kwamba madawa huleta permanent neurological damage, na ndio mana mie sipend kuona mtu anayatumia.
Ila ukweli ni kwamba yanastarehe sanaa