Kwa wanawake haipendezi hata kidogo
Tatizi bongo zinauzwa bei rahisi...
Ili kuendana na hali halisi ya maisha ya kibongo
Ili kuendana na hali halisi ya maisha ya kibongo
Dar selikari yetu
Hapa nilipo gram moja inauzwa €50 mpaka €60, kwa hesabu za haraka haraka kwa shilingi za kibongo ni laki moja na ushee, kwahiyo hapa ukiwa mteja kweli we umeamua. Lakini bei ya kibongo bongo hata ukipiga debe unaweza kujidunga, ndio maana vijana wa uswahilini wanakufa.
Kwa wanawake haipendezi hata kidogo
Cheki mateja wetu wengi hata hela ya chakula shida
hofu kwa watoto na wadogo zetuUnga ni kitu kibaya sana, ukishakuwa mteja ukipata hela kwanza heroin hayo mambo ya wali maharaga baadae. Nashukuru sana nimekimbia kwenye maisha hayo since the beggining.
Kwa wanawake haipendezi hata kidogo
Hivi wanawake wanaotumia unga(Madawa) kitandani wapo fiti kweli??