Maskini haka ka-Tembo katoto...!!

Huyu Tembo ni mgonjwa pia du pole yake lakini
 
Tuekee next picha baada ya hapo nini kiliendelea.....
 
Hapo nadhani huyo mamba aliingia choo cha kike! nina uhakika hiyo ndio ilikuwa siku yake ya mwisho hapa duniani.

hiyo picha ya pili huyo mama na mtoto walifanikiwa kuchoropoka baada ya mtoto kumkanyaga mamba mgongoni, full clip yake ipo ktk youtube bahati mbaya nipo kwa mobile ningeweza kuweka link.
 
aaaa bana mbona haujamalizia, baadae ikawaje?!!!!!!!!!!!!!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…