Ungeficha upumbavu wako ungejitendea haki,Usilazimishe mambo yaonekane unavyofikiria wewe,
Queen Darleen amepata malezi ya babaake lakini bado akawa mwanamziki hata kabla ya Diamond kutoka.. Suala la Sanaa kama lipo damuni lipo tu na sio kama huyo babaake angemlea Diamond asingekuwa msanii, cha zaidi angemlea labda angemuongezea vidato tu awe kama wakina FA au Ben pol wamesoma afu wanamuziki..
Hapa wa kupewa shukrani ni mamaake maana licha ya malezi ya kawaida, yeye ndio alikuwa anampa kila support kuendeleza kipaji chake kumpeleka matamasha ya watoto aende kuperform, hadi kuja kuwa meneja wake wakati ameanza mziki kama underground, hadi hivi sasa dogo hanaga matumizi mabaya sana ya pesa kwa mchango pia wa mamaake kama msimamiaji wa miradi ya kimaendeleo yote ukiachana na mziki..
Ungeficha upumbavu wako ungejitendea haki,
Sijakwambia kuwa kila afukuzwaye na simba huokota almasi!!!!
Bali bahati hubebwa na matukio kwenye muda husika!!
Mamaye daimond hangepata ruhusa kwa mumewe kumpeleka mwanae kwenye matamasha ya watoto kama unavyodai, hivyo pengine angekuwa chokoraa tu kitaani!!!
Kwani watu wote wamezaliwa na manii za huyo Abdul?kwa akili ya kuvukia barabara tu hiyo ni kiki ya biashara kwa hiyo Hospital wanatumia njaa zake kujitangaza!shule mlienda kusomea ujinga?Omba Mungu awaweke mshuhudie kifo cha diamond siku moja..!
Ni mjinga sana! Angesamehe yaishe ila nadhani anajua kuwa anazo dhambi nyingi kuliko hii ya kuto msamehe baba yake ndiyo maana haoni umhimu.
Bila shahawa za huyu mzee uplatnum angeupata wapi? Anajifanya hajui mchango wa huyu mzee kwenye maisha yake! Shahawa zenyewe ni mchango kulijo kitu chochote kile klilicho changia uwepo wa diamond na jinsi alivyo..!
i would put a 'like' button a million times for this comment!Mfano mzuri kabisa kwa kanumba!Ila Mungu ndo mwenye kutoa hukumu ya mwisho!WHO ARE WE TO JUDGE.Watoto msipende kuwasikiliza sana mama zenu hamuwezi jua nini kiliwatenganisha.....ni bora tu mondi ajitoe ufahamu amsaidie alafu huyu mzee malipo yake yawe kwa mungu.mwenyewe kwani yeye ndiye anayejua
Mwangalieni kanumba Naye alikuwa na kisasi kama mondi tu
LAKINI hata yeye alikufa na akamwacha baba yake na kinyongo chake moyoni...jiulizeniiii
Kipenzi hujambo lakini? umepotea kama shilingi ya mkoloni? nime ku miss sana upo lakini? Anavyofanya Diamond ni kosa lazima amhudumie baba mzazi. Baba yako ni baba tu ahata kam ni Mwenda wazimu ni baba tu. Diamond amekuw ana pesa sasa anamdharau baba yake kwanini? hata kama baba yake ameachana na mama yake yeye Diamond haimhusu ugomvi wa mama na baba mtoto haruhusiwi kuingilia.wanaume na nyie mjifundishe somo hapa;
mnatuachia watoto MUNGU akiwasaidia
mnaanza kufanya shoo kwenye hospital;
shauri zenu bhana.
Ni juzi tu nimesikiliza kipindi redioni Dada mmoja alikuwa anasimulia mazila yake, jinsi alivyopewa mimba na jamaa...alafu jamaa akakimbia....alipogundua anapoishi akamfuata....ndio jamaa eti akafunga mlango wa chumba, akachukua kisu na kumwambia 'si nakwambia utoe hutaki, sasa leo naitoa....baada ya sekeseke dada wa watu akajiondokea na leo anaishi kivyake na mtoto wake wanabangaiza.wanaume na nyie mjifundishe somo hapa;
mnatuachia watoto MUNGU akiwasaidia
mnaanza kufanya shoo kwenye hospital;
shauri zenu bhana.
Kwa bahati mbaya laana ya baba ambaye hajakulea, hajui ulikua unakula nini utotoni haikupati..! Otherwise wengi tungekua dampo muda huu. Mungu wa ajabu sana.!Diamond hii laana haita kupita mpaka umuombe msamaha huyu mzee!
Kwa yeyote mdadisi, ni rahisi kugundua kwamba huyo baba wa diamond aliandaliwa kwamba achukuliwe picha huku akionekana kusaidiwa na wahudumu wa hapo hospital, ili kijana apakaziwe na magazeti ya udaku.
Alafu... iweje mzee aende kwenye matibabu huku akiwa amejiandaa na wapiga picha?
Alafu.... kama mzee alikwenda kupata matibabu, kwanini aliwaita makanjanja wa magazeti ya udaku ili wakipake kwa mwanae?
Agghhhh....[emoji51] [emoji51] [emoji51]
Kwa baba ama Kwa mtoto?Iwe iwavyo lakini tuna kitu cha kujifunza hapa! Haya maisha yana siri kubwa sana.
Hata sisi wote! mimi sitaki kumuhukumu Diamond wala Baba yake, sababu na kuna cha ufa baina yao wanazijua wao, ila sisi wengine tutafakari na tujipime tungefanya nini kama hali hii ingetukuta sisi? Je ningefunga macho, masikio na mdomo na kupandisha vioo tukanyamaza au tungejiongeza tukasamehe na kusonga mbele?! Maana No situation is parmanent; leo Diamond yuko hivi, rich and famous! je kesho tunajua Diamond atakuwaje?Kwa baba ama Kwa mtoto?