Wanakuambia ni timu nzuri kweli kwenye ukanda wa Africa mashariki kwa namna ilivyo na facilities za kufundishia mpira. Ila issue watu walipewa nafasi ya kusimamia, wale wahispania walitaka kutoa machozi walivyo kuwa wanaondoka
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.