Masingle tukutane hapa

Nyeto inahusika apo
 
Wengine relationship status zetu zinategemeana na situation. Kuna kipindi tupo single, na kuna kipindi tupo in relationship.
 
Nipo single mpakasasa n kwakuwa nmegundua akili yangu inafanya kazi zaidi ya kutafta pesa nikiwa single....na sio utani mambo nloyafanya mwaka mmoja nikiwa single nilishndwaga kuyafanya miaka mi3 nilipokuw na uhusiano n mtu...!!Nipo Single Kwa Manufaa na faida yangu mwenyew
 
Ohooo
 
Nmeipenda sababu yako ilokufanya uamue kua single .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…