Masingle tukutane hapa

Masingle tukutane hapa

Mnajadili nn single lady, kwan kutokuwa kwenye mahusiano ni kosa c in maamuz tu, hata we ukiamua kuwa nae utakua nae tu. May be use na sura mbaya na huna chura.

Lakin kama mrembo unawac WAC gan, muda ukifika utampata alie sahihi kwako be smart
 
Katoto kazuri na Mimi nipo single muda mrefu Sana Zaid ya mwaka niliachana na mchumba wangu nimeamua nisubiri kwanza mke mwema toka kwa bwana
 
Back
Top Bottom