Masimp a.k.a mwanaume zoba, mwanaume ndezi, mwanaume mzembe

Zemanda

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2021
Posts
10,651
Reaction score
22,817
Ingawa ukarimu na kujali wengine bila misingi ya upendeleo na ubaguzi ni jambo jema sana ila kusimp ni tabia ambayo inamfanya mtu kutoka nje ya mipaka ya ukarimu na utu na kuanza kuingia katika muendelezo wa matendo ya kujidhalilisha na kujidhurumu kihisia na kujishushia heshima na utu wake mbele ya mwanamke au wanawake.

Ukisikia mwanaume kajiua kwasababu ya mahusiano au kamuua mwanamke na yeye kujiua au kamkuta mwanamke wake na mwanaume mwingine akampa kichapo na kumrekodi au amepigana na mwanaume aliyemfumania na demu, au kuna wale wanaume wanakuwa ‘stalkers’ au ‘obsessed’ na mwanamke hadi anafikia hatua ya kumdhuru then jua hapa unashuhudia madhara au matokeo ya mwanaume kuwa simp katika jamii.

Ishara au alama za kumjua simp zipo wazi sana na zinaweza husisha matendo yafuatayo ambayo mwanaume hufanya kwa mwanamke;

Kuyapa kipaumbele mahitaji na matakwa ya mwanamke hadi kuweka rehani ustawi wako na malengo muhimu ya kimaisha. Kama ulishawahi kufanya kazi kwa kujituma sana na mazingira magumu halafu kuna mwanamke akakupigia simu kuwa anashida ya pesa ya saloon,kioo cha simu kimevunjika, ana hamu ya kitimoto au mtoko kwenda sehemu fulani, wewe ukatoa ile pesa ambayo umeteseka kuipata ukiamini hayo ni mapenzi ya kweli, hapo ulikuwa una simp.
Shobo inayopitiliza kwa mwanamke ambayo inafikia hatua ya kuonekana ni kujipendekeza kuliko pitiliza na kumfanya kukuona wa kawaida na msanii.

Kumtetea mwanamke hata pale ambapo hastahili utetezi. Ushawahi kuona mwanamke anamchokoza mwanaume hadharani na kuonyesha kibesi akitaka wapigane then mwanaume akimpa anachotaka wewe unaingilia na wakati mwanamke huyo akiwa anamchochea mwanaume kwa maneno “nipige kama wewe ni mwanaume kweli“ ulikaa kimya na haukuingilia kumdhibiti. Wewe ni simp kama unatetea mwanamke ambaye ameyataka, angekuwa mwanaume ungeingilia? Unatakiwa upigwe pia.

Kujiwekeza kigharama kwa mwanamke kwa kumnunulia vitu vya gharama kama ishara ya upendo hadi mwanamke anaanza kuhisi kuwa yupo na mwanaume asiyejitambua. Mfano unamnunulia mwanamke pete ya milioni 10, gauni la milioni 5, unampeleka hoteli ya milioni 50 for valentine’s special package. Huyu mwanamke akikupenda kwa haya unayofanya njoo nitakurudishia gharama zako za uwekezaji.
Kutokulinda heshima na utu wake. Ukiona mwanaume hana mipaka na mali zake, pesa zake, na hata utu wake kwaajiri ya matumaini ya kupata attention ya mwanamke kimahusiano then huyu tayari ni simp.

Kwanini baadhi ya wanaume huamua kuwa masimp?

Kutafuta uhalali (validation) kwa mwanamke. Wengi wa hawa masimp huwa hajui kwanini anaingia katika maisha ya mwanamke anayevutiwa nae, hajui mahitaji ya huyu mwanamke na hivyo basi hajui anakwenda kulenga kumpa nini ambacho kitafanya yeye kuwa sehemu ya maisha ya huyo mwanamke. Hii ndio inawafanya kufanya mambo makubwa na matendo ya kujidhalilisha akiamini anamuonyesha mwanamke umuhimu wake. Hii si sawa.

Kuota ndoto za mchana na kuunda maisha kwa fikra tu (fanaticizing life); mwanaume anayejitambua hawezi kumuona mwanamke na kuanza kuimagine ni mali yake kabla hajamfahamu vema na kujua anachotaka. Lugha ya mwanaume kamili ni ya ubunifu kupitia taarifa sahihi. Hivi unaweza kuuza makoti ya baridi jiji la Dar msimu wa jua kali? Ndicho anachofanya simp ni kujenga hisia kuwa mwanamke atamkubali tu as long as anampa vitu na kumfanyia matendo ya kujipendekeza kila wakati na kumfukuzia kwa kutia huruma.

Mfumo wa malezi ya kisasa. Jamii ya kisasa inachochea sana usimp na kauli hutoka kwa masimp wazee , masimp vijana na mafeminists zinawajenga vijana kuamini kuwa kuwa simp ndio uanaume. Tazama leo unakuta kijana ana kazi nzuri au biashara ila anabembeleza mahusiano kwa mwanamke ambaye kwanza sio bikra au single mother,au mwanamke Mdangaji.
Hii ni matokeo ya jamii kuwakuza vijana kutojua thamani yao kama wanaume na misingi yake. Huwa mnaona humu vijana wa hovyo anasema “sasa bikra utaipata wapi saa hii” au “wewe acha wenzako tutaoa na watoto tutalea”. Proud simps, wanachefua.

Kukosa mipaka ya heshima. Vijana wengi ambao ni masimp huwa hawajitambui thamani yao au walichonacho ambacho mwanamke anaweza vutiwa na kuja katika maisha yao. Wengi huishia kuwa wasanii na ndio wanaongoza kutengeneza masingle mother kwasababu hajaui maana halisi ya mwanaume kiongozi wanaishia kukimbia majukumu mwanamke akianza kudemand mwanaume asimame eneo lake anamuachia yeye mwanamke ndie atoe neno. Pia wakiingia kwenye ndoa mwanamke anaona kabisa hayupo na mwanaume imara anaanza kulichezea kwa matukio anajua akilikosea ataliomba msamaha na litasamehe au litamfumania halafu yeye atamlaumu kama chanzo cha yeye kusaliti na ata samehe.

Ieleweke kuwa wanaume hatupingi ukarimu na kuwajali wanawake pale tunapowapenda na kuvutiwa nao, ni sehemu ya ukarimu kibinadamu. Ila inapofikia hatua mwanamke anatumia madhaifu ya ukarimu wa mwanaume na kuyatumia kwa manufaa binafsi then hiyo ni redflag ya kitabia kwa huyo mwanaume na hii inapelekea madhara especially kwa wanaume wote hata wale wenye uwezo wa kujenga familia.

Kunatengenezwa kizazi cha wanawake wenye tamaa wanaotumia mahusiano kama ajira, kutengeneza wanawake wanyonyanyi kimahusiano wanaoamini ukarimu wa mwanaume ni stahiki yao na kuutumia kujineemesha wao na wazazi wao.
 
Hao ni walimwengu kwenye ulimwengu wenye hila na udanganyifu.

Ni ngumu Sana kutenganisha maumivu ya mwanaume mbele ya kiumbe mwanamke.

Kwenye wanaume 100

80 wanasimp na kushoboka kama unavyosema.

10 Wana maumivu ya kimya ni vile wanajikaza kisabuni.

10 ni majamaa fulani,yaani mwanamke akitishia kuachana hayashituki,hayawazi yenyewe yapo bize na mambo yao.
Hata wanapotoa pesa si kwaajili ya kumvutia mwanamke Bali kumsaidia,na ikitokea majamaa yakigundua pesa inaendesha penzi lao huwa yanalog out faster.
 
Kikao cha mambwa hapa hakosekani tiger, chui, bobi, black chaina 😹😹
Zemanda huyu wa nyuma pembeni analinda usalama 🤣
 
Attachments

  • IMG_5770.jpeg
    IMG_5770.jpeg
    338.6 KB · Views: 21
Ta
Ingawa ukarimu na kujali wengine bila misingi ya upendeleo na ubaguzi ni jambo jema sana ila kusimp ni tabia ambayo inamfanya mtu kutoka nje ya mipaka ya ukarimu na utu na kuanza kuingia katika muendelezo wa matendo ya kujidhalilisha na kujidhurumu kihisia na kujishushia heshima na utu wake mbele ya mwanamke au wanawake.

Ukisikia mwanaume kajiua kwasababu ya mahusiano au kamuua mwanamke na yeye kujiua au kamkuta mwanamke wake na mwanaume mwingine akampa kichapo na kumrekodi au amepigana na mwanaume aliyemfumania na demu, au kuna wale wanaume wanakuwa ‘stalkers’ au ‘obsessed’ na mwanamke hadi anafikia hatua ya kumdhuru then jua hapa unashuhudia madhara au matokeo ya mwanaume kuwa simp katika jamii.

Ishara au alama za kumjua simp zipo wazi sana na zinaweza husisha matendo yafuatayo ambayo mwanaume hufanya kwa mwanamke;

Kuyapa kipaumbele mahitaji na matakwa ya mwanamke hadi kuweka rehani ustawi wako na malengo muhimu ya kimaisha. Kama ulishawahi kufanya kazi kwa kujituma sana na mazingira magumu halafu kuna mwanamke akakupigia simu kuwa anashida ya pesa ya saloon,kioo cha simu kimevunjika, ana hamu ya kitimoto au mtoko kwenda sehemu fulani, wewe ukatoa ile pesa ambayo umeteseka kuipata ukiamini hayo ni mapenzi ya kweli, hapo ulikuwa una simp.
Shobo inayopitiliza kwa mwanamke ambayo inafikia hatua ya kuonekana ni kujipendekeza kuliko pitiliza na kumfanya kukuona wa kawaida na msanii.

Kumtetea mwanamke hata pale ambapo hastahili utetezi. Ushawahi kuona mwanamke anamchokoza mwanaume hadharani na kuonyesha kibesi akitaka wapigane then mwanaume akimpa anachotaka wewe unaingilia na wakati mwanamke huyo akiwa anamchochea mwanaume kwa maneno “nipige kama wewe ni mwanaume kweli“ ulikaa kimya na haukuingilia kumdhibiti. Wewe ni simp kama unatetea mwanamke ambaye ameyataka, angekuwa mwanaume ungeingilia? Unatakiwa upigwe pia.

Kujiwekeza kigharama kwa mwanamke kwa kumnunulia vitu vya gharama kama ishara ya upendo hadi mwanamke anaanza kuhisi kuwa yupo na mwanaume asiyejitambua. Mfano unamnunulia mwanamke pete ya milioni 10, gauni la milioni 5, unampeleka hoteli ya milioni 50 for valentine’s special package. Huyu mwanamke akikupenda kwa haya unayofanya njoo nitakurudishia gharama zako za uwekezaji.
Kutokulinda heshima na utu wake. Ukiona mwanaume hana mipaka na mali zake, pesa zake, na hata utu wake kwaajiri ya matumaini ya kupata attention ya mwanamke kimahusiano then huyu tayari ni simp.

Kwanini baadhi ya wanaume huamua kuwa masimp?

Kutafuta uhalali (validation) kwa mwanamke. Wengi wa hawa masimp huwa hajui kwanini anaingia katika maisha ya mwanamke anayevutiwa nae, hajui mahitaji ya huyu mwanamke na hivyo basi hajui anakwenda kulenga kumpa nini ambacho kitafanya yeye kuwa sehemu ya maisha ya huyo mwanamke. Hii ndio inawafanya kufanya mambo makubwa na matendo ya kujidhalilisha akiamini anamuonyesha mwanamke umuhimu wake. Hii si sawa.

Kuota ndoto za mchana na kuunda maisha kwa fikra tu (fanaticizing life); mwanaume anayejitambua hawezi kumuona mwanamke na kuanza kuimagine ni mali yake kabla hajamfahamu vema na kujua anachotaka. Lugha ya mwanaume kamili ni ya ubunifu kupitia taarifa sahihi. Hivi unaweza kuuza makoti ya baridi jiji la Dar msimu wa jua kali? Ndicho anachofanya simp ni kujenga hisia kuwa mwanamke atamkubali tu as long as anampa vitu na kumfanyia matendo ya kujipendekeza kila wakati na kumfukuzia kwa kutia huruma.

Mfumo wa malezi ya kisasa. Jamii ya kisasa inachochea sana usimp na kauli hutoka kwa masimp wazee , masimp vijana na mafeminists zinawajenga vijana kuamini kuwa kuwa simp ndio uanaume. Tazama leo unakuta kijana ana kazi nzuri au biashara ila anabembeleza mahusiano kwa mwanamke ambaye kwanza sio bikra au single mother,au mwanamke Mdangaji.
Hii ni matokeo ya jamii kuwakuza vijana kutojua thamani yao kama wanaume na misingi yake. Huwa mnaona humu vijana wa hovyo anasema “sasa bikra utaipata wapi saa hii” au “wewe acha wenzako tutaoa na watoto tutalea”. Proud simps, wanachefua.

Kukosa mipaka ya heshima. Vijana wengi ambao ni masimp huwa hawajitambui thamani yao au walichonacho ambacho mwanamke anaweza vutiwa na kuja katika maisha yao. Wengi huishia kuwa wasanii na ndio wanaongoza kutengeneza masingle mother kwasababu hajaui maana halisi ya mwanaume kiongozi wanaishia kukimbia majukumu mwanamke akianza kudemand mwanaume asimame eneo lake anamuachia yeye mwanamke ndie atoe neno. Pia wakiingia kwenye ndoa mwanamke anaona kabisa hayupo na mwanaume imara anaanza kulichezea kwa matukio anajua akilikosea ataliomba msamaha na litasamehe au litamfumania halafu yeye atamlaumu kama chanzo cha yeye kusaliti na ata samehe.

Ieleweke kuwa wanaume hatupingi ukarimu na kuwajali wanawake pale tunapowapenda na kuvutiwa nao, ni sehemu ya ukarimu kibinadamu. Ila inapofikia hatua mwanamke anatumia madhaifu ya ukarimu wa mwanaume na kuyatumia kwa manufaa binafsi then hiyo ni redflag ya kitabia kwa huyo mwanaume na hii inapelekea madhara especially kwa wanaume wote hata wale wenye uwezo wa kujenga familia.

Kunatengenezwa kizazi cha wanawake wenye tamaa wanaotumia mahusiano kama ajira, kutengeneza wanawake wanyonyanyi kimahusiano wanaoamini ukarimu wa mwanaume ni stahiki yao na kuutumia kujineemesha wao na wazazi wao.
Tafuta kazi mkuu
 
Wewe kama ni Alpha Basi huna haja ya kuwasema.
Shida ni kwamba wengi wanaojiita Alpha sio Alpha kiukweli hivyo huumizwa na wazee wa shobo dundo.
Mimi sio club alpha. Mimi ni club sigma.
 
Back
Top Bottom