Masikitiko: Mshindi wa BSS 2009 anahitaji msaada

Dah kum*make jamaa umetibua mavuz* yangu.... umenkumbusha mbalii sanaaaaaa. JKT enzi hizooo tukiwa vijana tuliiimba hizo "chenja".
Hahaha umenichekesha kichizi. Halafu wakati huo kashinda tayari nimepata visa ya kwenda Denmark was in my late teens and very excited mama wakidenish alinizimikia kichizi haya maisha maamaee.

Halafu master Jay ambaye alikuwa miongoni mwa jaji hakuridhika kabisa na ushindi wa huyu jamaa na hakuficha kabisa yeye alitaka dogo mwengine mwenye sauti ya kubana ila huyo dogo waliimba fresh wimbo wa presha presha wa banana zoro na afsa kwa weledi na kadem flan

Dah homu ni homu tu maamaee
 
Teh ...
 
Huyo wababa ndiyo yule jamaa alikuwa anavaa likofia kama la cowboy. Jiwe naye alikuaga na iyo swagger ya kuvaa hilo likofia ya cowboy akiwa Waziri wa ujenzi.

Siku hizi naona tangu awe Rais alivai ila anavaaga kikofia flan kama za Charlie chaplain wa 1940s hasa akiendaga bandarin kwa ziara za kushtukizia. Ila jiwe ana swagger za ajabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…