MAJIYAPWANI
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 1,732
- 2,714
hapo mekuelewa alikua na besi flani hv ila sasa yuko kwa bed sidhani km atakua nayo zaidi ya sauti ya maumiv ya ajari au TANESCO KM WAMEMPITIA😂😂 nimemanisha kwenye shindano alikua ana sauti poa..huenda bado anayo
hapo mekuelewa alikua na besi flani hv ila sasa yuko kwa bed sidhani km atakua nayo zaidi ya sauti ya maumiv ya ajari au TANESCO KM WAMEMPITIA
Ayse we ni mtu mbaya ,
Ohooooh!!UMENIKUMBUSHA MBALI SANA MPAKA RAIA WAKASEMA JAMAA ANAKULA MADAMView attachment 945591
Duhhh, asante Kwa kufunguka mkuumasikini ..alikua na sauti ya kumtoa nyoka pangoni..sauti nzito ya kiume
Duhhh, asante Kwa kufunguka mkuu
Kama ni hivyo basi kijana hakuachwa salama aseembn madam rither alikua anaweweseka kbs
Ni kamanda mwenzako?Anaitwa Pascal Cassian yuko Muhimbili hali yake ni mbaya sana , yasemekana alipata ajali , Msaidieni jamani .
kutoa ni moyo na Mungu atawalipa
🤑🤑🤑Kama ni hivyo basi kijana hakuachwa salama asee
Tunamsaidia kwa njia gani sasa?
Buku nane kubwa kabisa hilo linatosha...waweke namba humu ..mimi nna buku 8 hapa nitume☺anunuliwe machungwa😁
Buku nane kubwa kabisa hilo linatosha...
Kweli watupe njia ya kufikisha michango yetu
asante kwa pichaUMENIKUMBUSHA MBALI SANA MPAKA RAIA WAKASEMA JAMAA ANAKULA MADAMView attachment 945591
Hapan a sijasema hivyo mkuuHAHHAAHAHA UNAMAANISHA JAMAA ANA TANESCO