Invisible, Ahsante kwa hilo.
Kuhusu video ambayo haina 'ujumbe wa meseji' sikuweza kuipata, nilijitahidi kutafuta kotekote lakini wapi...niliyoipata ni hiyo hiyo. Nadhani tuko kwenye anga moja tunaloongelea hapa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.