Masikitiko: James Lembeli kupigwa chini

Hata mseme nini Ukawa tuko imara,nafasi sio ubunge tu tunachukua nchi kuna watakaoingia mitini ewenyewe kwa aibu,wameongea mengi yatawasuta.
 

Una maana zee la nyeti za kuku?
 
Mzee mzima anaongea manyeti ya kuku hizi akili matope?
 
Lembeli kushinda na na kishimba sawa na dagaa kushinda na sangala
 
Mama magufuli ameibomoa ngome YAKE ni hatari,
 
Ukabila unakutafuna mpaka mifupa, na unaonyesha upumbavu wako hadharani. Utakufa kwa upumbavu.
 
Ndo yeye mkuu kazi ipo Lembeli aongeze bidii huyu jamaa alishaanza harakati enzi ya mkapa si wakupuuzwa.
Kuna kipindi alikuwa anatafutwa na polisi akapotea naona ameibuka kivingine na kugombea ubunge
 


Na tutahakisha chalinze linaenda chadema
 

Maslahi mapana ya Taifa yapi hayo, kama ndivyo hao wananchi wamelogwa. Yaani umlete mfanyabiashara ulingoni kweli? Wakapimwe akili waliosema hayo
 
Nlisema juzi huyu joni nani sijui si ridhiki
 

Utumbo mtupu. Hivi kwani ukisoma nyuzi za wenzako tu unapata shida gani?. Mpaka na wewe utupie utumbo humu
 
Ebana huu ndo ukichaa uliokubuhu,zungumzeni fact, toa uthibitisho kwa kupinga hoja.
WE MAKALIO NN KILA KITU UNAZAN HOJA? PUMBU WEWE HOJA HOJA MPUMBAVU ANAJIBIWA SAWASAWA NA UPUMBAVU WAKE!!!!!RUDIA TENA alah
 

Lembeli ndio mbunge wetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…