toa pumba hapa
Makamanda tujitambue, kuna maisha baada ya uchaguzi.
Hatimaye ngome ya Chadema imevunjwa na waliokuwa viongozi wa chadema jimbo la Kahama kutokana na kutokubaliana na ujio wa James Lembeli katika jimbo hilo huku wazawa, wazalendo na waanzilishi wa chadema katika jimbo hilo wakitupiliwa mbali. Wanachama na viongozi hao wamesema hawako tayari kubuluzwa na wameamua kufanya maamuzi magumu kwa maslahi mapana ya Taifa.
Nahisi watu wengine humu si rizki!
Inabidi ukapate ushauri kwa Dakitari inawezekana ubongo umecheza kidogo.
Hatimaye ngome ya Chadema imevunjwa na waliokuwa viongozi wa chadema jimbo la Kahama kutokana na kutokubaliana na ujio wa James Lembeli katika jimbo hilo huku wazawa, wazalendo na waanzilishi wa chadema katika jimbo hilo wakitupiliwa mbali. Wanachama na viongozi hao wamesema hawako tayari kubuluzwa na wameamua kufanya maamuzi magumu kwa maslahi mapana ya Taifa.
Lembeli anasubiri kuapushwa tu halafu mtu analeta udaku humu.
Kwani lembeli alijiunga na chadema mbona alikuwa anasema Lowasa ni jambazi sugu la ufisadi imekuwaje kaungana naye.
Ebana huu ndo ukichaa uliokubuhu,zungumzeni fact, toa uthibitisho kwa kupinga hoja.