BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,533
- 3,837
Tuliokulia vijijini tunafahamu jinsi maisha yetu yalivyo ya shida, wenye hali nzuri huwa wanakula atleast mara mbili kwa siku huku wengi tuliishia kula mara moja kwa siku na bado tunafanya shughuli ngumu.
Pamoja na kushinda muda mwingi bila kula chakula lakini watu wengi masikini haumwi vidonda vya tumbo.
Tofauti na wale wa hali ya kati na juu ambao kuna wakati wanaweza kula hata zaidi ya mara tatu lakini wao ndio wanaongoza kwa kuumwa vidonda vya tumbo.
Sisi masikini tunakushukuru sana Mungu kwa kutulinda kinyume na hapo masikini tungekufa sana