tamimusalim
JF-Expert Member
- Jun 17, 2014
- 1,822
- 499
Tanzania nchi yangu ila nasikitika sana ,kwa mda mchache imekuwa ni yakukumbwa na majanga ya kashfa zilizopindukia miongoni mwa kashfa hizo ni
1:sakata la escrow account, hili ni sakata kubwa la upotevu wa mapesa mengi zaidi ya bilion 200 lakini aitoshi wakati sakata hilo likiwa bado linafuka moshi mkubwa limeibuka lingine ambalo nalo ni kubwa nalo ni
2: kashfa za utoroshaji wa pembe za ndovu inaohusisha wawakilishi wa nchi ya china waliofanya ziara na rais wa nchi hiyo mwezi march mwaka huu,uwozo uwo uliibuliwa na tasisi moja inayojishugulisha na mambo ya mazingira yenye makao yake uko marekani,mpaka sasa serikali ya china aijatamka lolote kuhusu sakata hilo ila kuna tetesi kuwa china inataka kusema ukweli kuhusu sakata hilo