Umaarufu umemponza...sasa ataendelea kuongopa mpaka kaburini. Kila kitu juu yake ni uongo. Ukiangalia video mpaka anatia huruma. Ku-maintai uongo ni gharama kubwa sana.
hahahahaha pole my classmate sitti abbas zuberi mtevu hahaha ukiwa na miaka 18 na yule mdogo wako tuliyemuachaga kidato cha tano atakuwa na 10 maana hata yeye alikuwa mzee tuu
Ushauri wa busara ni kurudisha taji la watu atoe kisingizio Kuwa anaandamwa sana ndo Maana kaamua kujivua Umiss TZ. Akishupaza shingo atazidi kuumbuka pamoja na familia Yake.