Masikini Pistorius...

WaliNazi

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2012
Posts
851
Reaction score
96
Ni wivu, na hasira za kunyimwa penzi,,, akamuua mpenziwe,Daa.. very sad

mpenziewe hakutaka wala onyesha dalili ya kumuhitaji pistorius,,,,at the eve of the valentine day,,, hata zawadi hakumletea. nooma sana.,,jamaa akaona isiwe shida.

link hiyo..

.http://bbcnews.com/pistorius
 
Na huyo binti aliyefariki (kukatishwa maisha yake) na ndugu zake na jamaa zake ambao wanamkosa ndugu yao ndio wakuwasikitia huyu ni kwamba anavuna sasa alichokipanda..
 
Wanawake wajifunze kidogo hapa kunyimana unyumba kunaleta hasira kazini na ,barabarani na Nyumbani pia ila Pistorious ukipatikana na hatia ulikua too extreme
 
Huyu kaka atakuwa pyschopath tu, mauaji ya kupanga kabisa hayo?
Ndo maana prosecutors wako busy wanaangalia mahusiano yao mwishoni yalikuaje ,wanachunguza sana simu zao(wataalamu wa txts ) etc waone kama kulikua na quarrel wakijithibitishia pasipo na shaka jamaa tumemkosa
So the Root the case wanaangali mahusiano soon kabla ya tukio
 
amedondoka ktk kilio kizito, kesi imeahirishwa mpaka kesho.

Jamani dada zetu msitunyime unyumba. Esp. Valentine day. Inaumaaa.
 
Yule marehemu mdada alikuwa bonge lademu,huyu jamaa afungwe tu,wivu wa kijinga..
 
Kuna kocha wa england alifukuzwa kuhusu kutoa msimamo mkali juu ya ndugu zetu hawa anaitwa hoddle ,
 
Bora anyongwe tu, maana tumechoka
 
je xmass eve?

vyovyote vile , msicheze na hisia jamani. Mwanaume unapohisi na kuthibitisha mpezi wako ametoka lalwa,na sababu hyo yamfanya anashindwa kukupa..,
hakuna maumivu kama yale, uwa ni kama moyo wataka chomoka. Acheni kabisa.
 
ebu acheni kwanza hukumu itoke mbona mmeshahitimisha kesi wakati bado
 
Upo sahihi Mkuu
Ni kweli kulikuwa na tofauti ya mahusiano hasa siku hiyo ya Valentine Day
wako wanaosema Mpenziwe Pistorius Reeva Steenkamp alikuwa anaongea na jamaa mwingine kwenye simu na bado akakimbilia bafuni ili waongee zaidi ndipo jamaa akamuingilia na ubao wa Cricket na kujariu kuuvunja mlango, aliposhindwa akamfyatulia risasi nne (km ni kweli ni jambazi na mayowe ya Mpenziwe Pistorius asingeendelea kupiga baada ya utokea kimya cha mwanamke)


icha ya Video ikimuonesha Marehemu Reeva Steenkamp
The photos that Pistorius couldn't bear to see: Court shown the trail of blood that led through athlete's house after he shot dead his lover | Mail Online

Pistorius alianza kuvunja mlango ili kumtoa mpenziwe na iliposhindikana alipiga risasi 4


BBC News - Oscar Pistorius trial: Evidence
 
Pistorius hana tofauti na Mushi katika sakata lake na Ufosaro(hii katika kuweka kumbukumbu sawa zisipotee) sema utofauti ni kuwa Mushi aliongeza kitendo kinaitwa "Mushilisation " akimwacha ufoo na maisha yake katika process inaitwa "Ufosarolisation"

Talk is cheap, but cognitive reasoning is expensive. Trust me!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…