Marehemu ataacha nini?
1. Mjane (ACT)
Akili za kitumwa hizi, mpuuz sana wewe!!!Enzi ya mkoloni kuna makabila yalikuwa hayatoi ma province/district commissioners or uongozi wa aina fulani. Bali garden boys, cooks, butlers, udereva na the like. Prove me wrong.
Mtu kama wewe ni wa kupuuzwa jk ni mpenda watu na maendeleo basi ona hawa watu wanavyomtumaini yeye.Ndio maana alitakiwa aunde serikali ya watu
Makini, waaminifu , wachapa kazi, wasiopenda rushwa,
Wazalendo, wenye uchungu wa maendeleo,wanao mthamini
yeye JK kama mkuu wao.
watu ambao wako hapo kumsaidia yeye asielimewe na haya yote.
sasa yeye amechagua mabua ndio maana yuko kwenye hali hii.
Depression na Stress nyingine kajitafutia mwenyewe.
Jk atabaki kuwa kiongozi shupavu na mpenda maendeleo ukisema kuhusu jk watu kama hawa utawaambia nini.
View attachment 216327
Umetoroka kwenye mkesha wenu? Wenzako wanakutafuta hawa hapa rudi mkaendelee kubinuka.ataita wavuta unga aongee nao..
Hayo ni matusi kwa watanzania unawafahamu vema hawa.
View attachment 216330
Jibu swali bado unakula hii kitu?....Choo!! unajitahidi viti maalum vinakuhusu ...ongeza bidii hata magogoni tumechima ngabu
Mtu kama wewe ni wa kupuuzwa jk ni mpenda watu na maendeleo basi ona hawa watu wanavyomtumaini yeye.