Maskini jeuri wapo, na wana misemo yao wanasema:
- Pesa hainunui furaha
- Hata uwe na pesa kiasi gani wote tutazikwa chini.
- Chakula ni tofauti ila shibe ni moja.
- Hata uwe tajiri lazima uende chooni.
Hao ndyo maskini jeuri mkuu, na hayo ndyo baadhi ya maneno yao.