Masikini Arusha Yetu

Kindus

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2014
Posts
4,200
Reaction score
3,268
Wasalam wanajukwaa hili takatifu kwanza nawapa moyo wote wapendao mabadiliko ya kweli na uhuru wa kwele mmepiga hatua hivyo endeleeni na mapambano ushindi wa haki dhidi ya uovu,wizi,dhuluma na ufisadi uko karibu kwa sasa.

Ila kilio changu naulilia mji wangu huu ambao hata mzee mandela wakati anawasuluhisha wanyarwanda alitamani kuish hapa na hata wanyarwanda wenyewe walituomba tuwape viwanja wajenge hapa geneva ya africa madini tanzanite,utalii na biashara za kila aina dini zote na elimu ya juu bila kusahau sanaa yani kila kabila lilikua hapa na hakuna alotamani kuondoka lakin sasa ni siasa za uhasama tu
 
Thread imeniacha mtupu kama suspense movie. Okay, ulitaka kusema nini?
 
Aisee umeanza vizuri sana kwenye hii Thread yako lakini hujamalizia - Tafadhali ningependa kujua ni nini kimekukwaza kwenye hizo siasa za uhasama! Please JIBU!!!!!!:A S-confused1:
 
hijja madava usiwe mnafiki kwani arusha haijachukuliwa yote na wapinzani. kwanza sisi tunaongoza na isitoshe 2015 tunahakikisha tunalikomboa jimbo hilo kutoka mchepukoni..shaka ondoa tumejitathmini tumegundua wapi tuliteleza tunajipanga ...safari moja huanzisha nyingine na uchaguzi mmoja huanzisha mwingine. Hakuna kitu kama ushindi wa haki pale mnapoleta vurugu na kuwapiga wanachama wetu...mapambano yanaendelea nasi tunakomaa kuhakikisha tunamng'oa lema wenu kinara wa vurugu 2015 na mitaa na vitongoji tutavikomboa tu 2019
 

Nikwambie tu kwamba CCM haina majibu bado kwa nini inachukiwa sana Arusha. Wangekuwa wanajua wasinge jikita ktk siasa za ukabila na udini ili kuwagawa wananchi wanao ishi Arusha!
 
Thread imeniacha mtupu kama suspense movie. Okay, ulitaka kusema nini?

Nafikiri Kila Mmoja Anaona Mabomu Kila Kona Ya Arusha Soweto,olasiti,pia Katika Bar Mbalimbali Vurugu Za Meya Uwanja Wa NMC Nasasa Jana Kulirindima Mabomu Ya Machozi Eneo La Ostabay Na Wizi Wa Kura Wa Wazi Waz Maeneo Ya Sakina Na Hata Watalii Sasa Wamepungua Kwa 40% Tatizo Kubwa Ni Chama Tawala Kutokukubali Kushindwa
 
Nikwambie tu kwamba CCM haina majibu bado kwa nini inachukiwa sana Arusha. Wangekuwa wanajua wasinge jikita ktk siasa za ukabila na udini ili kuwagawa wananchi wanao ishi Arusha!
Wala sishangai, kufitinisha watu ndo kazi ya CCM!!!!



Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Ombi wana wa nch nzima tuifuteni ccm kote nchini ili turudishe hadh ya jiji letu
 
Ccm ni viumbe vinavyotoweka kwa kasi sana hapa arusha
kutoka mitaa 148 2009 hadi mitaa 70 tena mingine kwa kupewa na mapolis?
 
Ccm ni viumbe vinavyotoweka kwa kasi sana hapa arusha
kutoka mitaa 148 2009 hadi mitaa 70 tena mingine kwa kupewa na mapolis?

kwa arusha tumeshamaliza kitambo sana ndo mana wanatumia mbinu nyingi kutuadhibu kwa kuua uchumi wa jiji letu kama kuwauzia makaburu madini yetu na kuchafua hali ya usalama wa mji na kuua tembo na kuwauza twiga kwa waarabu ili na utalii nao ufe.WASIRA ALISHASEMA KWENYE KAMPEIN ZA CCM VIWANJA VYA SHUMA PALE MAJENGO JUU KWAMBA ANATUONEA SANA HURUMA VIJANA WA ARUSHA KWAKUIKATAA KWETU CCM SERIKALI HATOSHUGHULHKA NASI KWA INSHU YOYOTE LA SIVYO TUWACHAGUE MADIWAN WA CCM HAPO KIDOGO TUTAFIKIRIWA.
 
Arusha ni kwamba CCM wanataka watawale kwa nguvu, hawataki wapinzani. Vurugu zote pale Arusha hufanywa na polisi na wala sio Lema
 

Mleta thread ni mpuuzi kwani sioni alichokiandika. Na ccm waendelee kujipa moyo kwamba arusha watairudisha mikononi mwao. Kama ccm ni wajanja, wakimbilie kule vijijini wakaendelee kuwadanganya wqnqnchi.
 

Mleta thread ni mpuuzi kwani sioni alichokiandika. Na ccm waendelee kujipa moyo kwamba arusha watairudisha mikononi mwao. Kama ccm ni wajanja, wakimbilie kule vijijini wakaendelee kuwadanganya wananchi, huku mjini hakuna chenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…