Inferior Complex
JF-Expert Member
- Oct 17, 2014
- 3,655
- 5,042
Huwezi kuzuia upo sahihi.Ndo maisha yalivyo. Huwezi zuia watu kuongea mkuu
SI KILA ASEMALO HUYO BINTI NI KWELI.
MENGINE ANAONGEZEA CHUMVI
Ben pol hana Mambo ya ki chiko na kipuuzi!
then yale Ni maisha yake sijajua huyu binti anataka Nini kuanza kumpaka matope kijana wa watu!
VITU VINGINE KAMA HUJUI NI BORA UKAE KIMYAAA.
nAfuu aendelezee umbeya wake kwa kina wema
Ahh.hapana dada
ila inakuwa tabu kuona watu wanachafuliana CV kisa kufanikisha malengo au kuleta Kiki za kipuuzi!
just imagine sijawahi kukuona then nikaja jukwaani kukufungulia thread kuwa nimekufanya hivi na vile au upo hivi na vile
huoni Kama itakukwaza.
hapa tunazungumzia interm of dignity ya mtu.
huwezi kuichafua kisa upate Kiki kwa chai
Huwezi kuzuia upo sahihi.
lakini kwenye upotoshwaji lazima tuzuie na tupinge!!!
hako ka binti kanaleta chai na chumvi nyingi
kwa.kweli,amenikwaza na kuniboa anapotaka kumusianisha ben na.mambo ya kichoko!
laiti kama.ningekuwa cmfahamu inside in and out ben hapo ningekaa kimyaa
lakini kwa mtu ambaye nafahamiana naye Kabla hajawa na lolote siwezi kuona upotoshwaji dhidi yake nikakaa kimya
mbona wakati analeta habari zake za kina majjizo na b12
nilikuwa kimya??
coz sikuwa nafahamu lolote
lakini kwa Hili la Ben BIG NOOO!!!!!
Na Kama ni kweli aweke wazi huyo boyfriend wake
AACHE KUWACHAFULIA WATU MAJINA KWA CHAI ZAKE ZA KIPUUZI
Mmmh yan Toka Kaka yetu ashinde biko nasikia siku hzi Ana mashauzi, anajikuta sultan, ata kuongea siku hizi kabadilisha, mxieew yan mashauzi yote Kisa pesa za mwanamke, kweli umechelewa kuingia mjini, siku hizi mda wa kurekod single tena huna.
Kwanza nasikia ni anaburuzwa na hyo mkeii, hizo picha anazopost insta kujifanya anakula bata kuturusha roho , nyuma ya pazia anapelekeshwa kama mbwa.
Apo alipo kapewa masharti kibao na huyo dada , yani huyo dada hatakag ujinga, yan bata anakula Ila cha moto Anakiona mwenzenu msimuone hivyo , moyo unawaka moto.
Kwanza bibie anasifika kubadilisha wanaume kila Mwaka , hawezag kukaa na mwanaume mmoja kwa mda mrefu, yan Ana allergy , Sasa kaka yetu ajishaue akijua kafika mwache yamkute na yakumkuta.
Yani mtu umebarikiwa kipaji kizuri sauti unayo, unaamua uache mziki ukadange, mxieew , na nasikia Yule boyfriend wako tena humtaki, na simu zake hupokei, mji mzito huu jaman khaa, kweli pata pesa tujue tabia yako
Girlfriend , mtoto na boyfriend wote umewatelekeza kisa mkeii Ana pesa , mwanakuyatafuta mwanakuyapata, wambea tupo hapa.
Sent from my iPhone using JamiiForums
aha kumbe Ni umbeya?Sasa ushasikia mi Ndo warumi , mbea niliyetukuka, usiniaribie CV , umbea sijaanza Jana Mimi , na wambea huwa hatudanganyi hata kidogo , kama ya Mjini kaa kimya tukujuze, naona mjini umekuja juzi na Gari la nyanya
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sibishanagi na Wanawake hiyo Ni principle yanguEti kiki , mxieew umeambiwa mimi natka kupost matangazo humu nipate pesa ? Kiki hyo ningeitaka ningeipata Toka Mwaka 2012, tulia nikujuze ya mjini
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sibishanagi na Wanawake hiyo Ni principle yangu
kwa,kuwa umesema Ni umbeya endelea kuwaokota wenzako!
Ni kazi pekee iliyosalia ya wanawake waliokata tamaa na maisha!
mwanamke mwenye akili na maisha yake,HAWEZI shinda kufuatilia maisha ya watu na kutunga habari!
have a nice job
Ngoja nije na file lake, tena bila code , kweupeee Ndo ujue kuwa huu mji mzito
Halafu uko kumjua uko vepee? Umekua Mama ake mzazi wewe ? Mama yake mwenyewe hayajui ya mwanae sembuse wewe ? , tena utulie
Halafu hyo ni code , hakuna aliyetajwa Jina , mbona umeanza kujishuku? Kulikoni ? Inauma eeh ? Tena usimuaribie mwenzio , bora ukae kimya tu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hahaaa ahsanteSasa ushasikia mi Ndo warumi , mbea niliyetukuka, usiniaribie CV , umbea sijaanza Jana Mimi , na wambea huwa hatudanganyi hata kidogo , kama ya Mjini kaa kimya tukujuze, naona mjini umekuja juzi na Gari la nyanya
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hawakujui warumi haoo!!!!nakuaminia binamuuuHuyu ananitekenya anataka nianze kuyamwaga na yasioandikika humu. Akae tu kimya.
Huku kuna watu wazima zaidi ya maelfu, naanzaje kudanganya watu wote Hao , isitoshe kuna wanaojua kila kitu ninachopost, ningekua muongo zaman ningepotea, Ila mbea Mimi najiamini, waje hapa wakanushe niwape full data hadharani mxieew
Sent from my iPhone using JamiiForums