Masika yameanza...

Masika yameanza...

Mentor

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2008
Posts
20,334
Reaction score
23,941
Na mwana wa mwanadamu ana hita mahali pa kuweka kichwa!
Eniwei, wakubwa..nahitaji kachumba cha kupanga Dar..ningependelea chenye bedroom,jiko, bafu/choo, na sebule..but all available otpions are welcome ili nione ntafanya uamuzi gani...
Plus nikijuzwa na diferent costs itakuwa nzuri zaidi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom