Pandisha signal ifike angala 60% hautajutaKwakweli king'amuzi cha Zuku inabidi nikipumzishe, hakuna namna. Yaani tumatone kidogo tu twa mvua inakata kabisa hadi kero. Jana nimelazimika kutafuta CD, nimehangaika kwenye maboksi angalau mi na familia yangu tusiboreke hadi nikalazimika kuangalia bongo movie. Bahati nzuri dada wa kazi alikua ameazima wapi cjui.
Kweli nawatema Zuku, tutaonana tena June maana hamkawii kupiga simu kuniuliza mbona nimeacha kulipia. Subirini masika iishe.
Back to Dstv Bomba!