Mashushushu wavamia wanahabari

Kama mtanunuliwa na kupotosha ukweli kwa umma, hapo ndiyo tutakuja kudhihirisha ule usemi eti kama nyinyi ni makanjanja ama waandishi wa habari.
 
Mashushushu wa siku hizi hamna kitu! Waisilamu wamejipanga na kuandamana hadi wizarani wao walikuwa wapi. Upuuzi mtupu!

Mkuu c afadhali hata Waislamu kuandamana maana katiba imeruhusu watu kuandamana.. Walikuwa wapi wakati dege la waarabu limetua na kuondoka na twiga pale KIA..
 
ama kweli vifo vingi vinavotokea ni mkono wa mwanadamu ila tunaaminishwa ni mapenzi ya Mungu. John Lubungo, Richard Masatu, Daudi Mwangosi et al., R.I.P
 
mmh mashushushu wasikuhizi nachoka nao akikaa bar kanywa bia nyingi bill imekuja unasikia wewe hunijui mimi usalama wa taifa. mi navyoelewa shughuli za ushushushu zinafanyika kwa siri.
 
Nawahurumia sana hao mashushushu wanaohangaika kutafuta hard copy. Siku hizi watu wanaweka document zao katika hali soft copy, tena kwa kutumia saver za Yahoo, Google, Facebook, Youtube na nyingine nyingi kama hizo ambazo saver zake zote hizo hazipo hapa nchini. Wao wakusanye tu hizo hard copy lakini watashangaa zinaprintiwa nyingine kama hizo. Sipendi kuamini kuwa wamepitwa na wakati kiasi hiki! Kama ndio hivyo basi tumekwisha, hakuna inteligensia hapa bila Information Technology. Wako kizamani sana.

Halafu kilaza mmoja anasema tuko tayari kupigana vita na malawi!
 
wamechelewa sijui hii serikali inaweza nini kila kitu hawajipangi picha za mwangosi zipo kila mahali
 
Back
Top Bottom