Mashujaa waliouawa katika vita vya Jihad

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
8,552
Reaction score
12,788
Kwa historia, kuna mashujaa wengi wa Kiislamu waliokufa katika vita vya Jihad. Hapa kuna baadhi yao maarufu:
  1. Hamza ibn Abdul-Muttalib - Ami yake Mtume Muhammad na mmoja wa wapiganaji waaminifu zaidi wa Uislamu. Alikufa shahidi katika Vita vya Uhud.
  2. Khalid ibn al-Walid - Mojawapo ya makamanda wakuu katika historia ya Kiislamu, alihusika katika vita vingi vya kueneza Uislamu. Ingawa hakufa vitani, alifariki kutokana na maradhi, alijulikana kama "Upanga wa Allah" kwa ushindi wake katika vita mbalimbali.
  3. Salahuddin al-Ayyubi (Saladin) - Sultan wa Misri na Syria, aliyeongoza Waislamu katika vita dhidi ya Wakristo katika vita vya msalaba. Alijulikana sana kwa ukarimu wake na haki yake. Ingawa alikufa kutokana na homa, mchango wake katika vita vya Jihad ni mkubwa
Hawa ni baadhi ya mashujaa waliokufa kwa ajili ya Jihad na wanaenziwa sana katika historia ya Uislamu.
 
Yani nikikumba Imamu wetu alivyouwawa kikatili kulinda, kupigania na kuutetea uislamu yani naenda chumbani kwenye kona giza nakaa na kujikunyata huku nimekunja miguu nakuzamisha kichwa kwenye magoti nakukikumbatia kwa kubana kwa mikono miwili nakuangua kilio cha hatarii.

Kipenzi chetu cha dhati alipambana sana leo tumepewa Tawfiq tunauhakika wa jannah na firdaus.

Allah amfanyie wepes na ampe qauli thabeet kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein.

Hiyo hapo chini ni seal ya kipenzi chetu cha dhati Imam Hussein. Kila muislamu wa Shia nyumbani kwake anayo.
Istanbul_-_panoramio_(35).jpg

Huyo ndo mwenyewe mwamba hapo chini kipenzi chetu cha dhati bila yeye kujitoa nafsi leo uislamu usingekuwepo.

c7833591676a83f6b1de8a7dd59f2d4d.jpg

Yoda Code 255 Kinyungu Jagina adriz
 
Yani nikikumba Imamu wetu alivyouwawa kikatili kulinda, kupigania na kuutetea uislamu yani naenda chumbani kwenye kona giza nakaa na kujikunyata huku nimekunja miguu nakuzamisha kichwa kwenye magoti nakukikumbatia kwa kubana kwa mikono miwili nakuangua kilio cha hatarii.

Kipenzi chetu cha dhati alipambana sana leo tumepewa Tawfiq tunauhakika wa jannah na firdaus.

Allah amfanyie wepes na ampe qauli thabeet kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein.

Yoda
bibi yako aleikufa akiwa sio muislam akiona umeandika hivi angalikuwa na uwezo angalikupiga vibao
 
Yani nikikumba Imamu wetu alivyouwawa kikatili kulinda, kupigania na kuutetea uislamu yani naenda chumbani kwenye kona giza nakaa na kujikunyata huku nimekunja miguu nakuzamisha kichwa kwenye magoti nakukikumbatia kwa kubana kwa mikono miwili nakuangua kilio cha hatarii.

Kipenzi chetu cha dhati alipambana sana leo tumepewa Tawfiq tunauhakika wa jannah na firdaus.

Allah amfanyie wepes na ampe qauli thabeet kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein.

Yoda
Hakika, Mungu ampe kheri za Ahkhera na Dunia Imaam Hussein.

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
HUNIAMBII kitu KUHUSU YESU MUNGU NA KIPENZI CHETU CHA DHATI IMAAM HUSSEIN ALLAH MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHMA AMPE QAULI THABEET

Yani nikikumba Imamu wetu alivyouwawa kikatili kulinda, kupigania na kuutetea uislamu yani naenda chumbani kwenye kona giza nakaa na kujikunyata huku nimekunja miguu nakuzamisha kichwa kwenye magoti nakukikumbatia kwa kubana kwa mikono miwili nakuangua kilio cha hatarii.

Kipenzi chetu cha dhati alipambana sana leo tumepewa Tawfiq tunauhakika wa jannah na firdaus.

Allah amfanyie wepes na ampe qauli thabeet kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein.

Hiyo hapo chini ni seal ya kipenzi chetu cha dhati Imam Hussein. Kila muislamu wa Shia nyumbani kwake anayo.
View attachment 3058425

Huyo ndo mwenyewe mwamba hapo chini kipenzi chetu cha dhati bila yeye kujitoa nafsi leo uislamu usingekuwepo.

View attachment 3058426

Yoda Code 255 Kinyungu Jagina adriz
wakiristo wa JF mtaumia sana, na mngalijua kwamba ukifa mkiristo unaenda kupata kaburini na akhera basi mngalikuw mngalikuwa mnajilaumu nafsi zenu. lkn ndio hivyo tena Summukubun Umuuyun
 
Una ushahidi na hili? Vipi wahindu, wabudha, wapagani, nao huenda wapi
 
Back
Top Bottom