Z ZE NDINDINDI JF-Expert Member Joined Sep 19, 2016 Posts 1,885 Reaction score 4,014 Dec 24, 2016 #1 Neno moja kwao wapambanaji hawa wanaotumia mbinu mbalimbali kuongeza mapato ya kodi kwa kupiga faini madereva wakaidi, kodi ambayo mwishowe hutumika kuhudumia jamii kama kwenye miundombinu na afya.
Neno moja kwao wapambanaji hawa wanaotumia mbinu mbalimbali kuongeza mapato ya kodi kwa kupiga faini madereva wakaidi, kodi ambayo mwishowe hutumika kuhudumia jamii kama kwenye miundombinu na afya.
U ustadhijuma JF-Expert Member Joined Jul 20, 2015 Posts 3,133 Reaction score 2,118 Dec 24, 2016 #2 hao sio wapambanaji Bali hao Ni wakusanyaji wapambanaji Ni TPDF,TISS,FFU nk
mkorinto JF-Expert Member Joined Jun 11, 2014 Posts 32,095 Reaction score 39,619 Dec 24, 2016 #3 ustadhijuma said: hao sio wapambanaji Bali hao Ni wakusanyaji wapambanaji Ni TPDF,TISS,FFU nk Click to expand... Wewe hao wote uliowataja wanasubiri kazi iliyotukuka ya traffic, ili waendelee kufurahia kazi zao. Ndio maana mkuu kwa kuona mbali sana,akaibariki na kuibatiza jina jipya-kutoka kitu kidogo mpaka hela ya bubrashia viatu. Akichukua TPDF hiyo hela hata buku tu aseme anapeleka TRA hapatakalika humu.
ustadhijuma said: hao sio wapambanaji Bali hao Ni wakusanyaji wapambanaji Ni TPDF,TISS,FFU nk Click to expand... Wewe hao wote uliowataja wanasubiri kazi iliyotukuka ya traffic, ili waendelee kufurahia kazi zao. Ndio maana mkuu kwa kuona mbali sana,akaibariki na kuibatiza jina jipya-kutoka kitu kidogo mpaka hela ya bubrashia viatu. Akichukua TPDF hiyo hela hata buku tu aseme anapeleka TRA hapatakalika humu.
U ustadhijuma JF-Expert Member Joined Jul 20, 2015 Posts 3,133 Reaction score 2,118 Dec 24, 2016 #4 mkorinto subiri siku TPDF waache kulinda mipaka yetu then tuone umuhimu wa trafiki ktk usalama wetu just jokes don't panic meeeen!!
mkorinto subiri siku TPDF waache kulinda mipaka yetu then tuone umuhimu wa trafiki ktk usalama wetu just jokes don't panic meeeen!!
mkorinto JF-Expert Member Joined Jun 11, 2014 Posts 32,095 Reaction score 39,619 Dec 25, 2016 #5 ustadhijuma said: mkorinto subiri siku TPDF waache kulinda mipaka yetu then tuone umuhimu wa trafiki ktk usalama wetu just jokes don't panic meeeen!! Click to expand... Ni mgawanyiko wa majukumua tu.kimoja kikitoka kingine kinapwaya. Umeishawahi jiuliza kama barabarani usalama ni sifuri, kuna mwenye muda wa kuwaza mpaka unalindwa kwa gharama ipi??? Lakini pia tpdf haitataka kuonyesha umuhimu wake kwa kuacha kutimiza majukumu yake, huu ni uasi, kama ilivyo kwa hao traffic pia.
ustadhijuma said: mkorinto subiri siku TPDF waache kulinda mipaka yetu then tuone umuhimu wa trafiki ktk usalama wetu just jokes don't panic meeeen!! Click to expand... Ni mgawanyiko wa majukumua tu.kimoja kikitoka kingine kinapwaya. Umeishawahi jiuliza kama barabarani usalama ni sifuri, kuna mwenye muda wa kuwaza mpaka unalindwa kwa gharama ipi??? Lakini pia tpdf haitataka kuonyesha umuhimu wake kwa kuacha kutimiza majukumu yake, huu ni uasi, kama ilivyo kwa hao traffic pia.